Muda gan wa kuurudi nyumban kwa wanandoa?

Muda gan wa kuurudi nyumban kwa wanandoa?

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,085
Reaction score
38,460
Naomba msaada ndugu niko na kamkutano cha kurudisha ndoa ya watu kwenye mstari wanabishana muda wa kurudi nyuumbn just like dat;;hii ni kwa wanandoa na wale wanaoishi jinsia tofauti nyumba moja zaidi ya miaka miwili;;narudia wale wa jinsia tofauti tu;;tunaomba mawazo yenu
 
Kama wanaishi Mwananyamala basi washauri wawe ndani mapema kabla ya muda wa dunga dunga..
 
Kama mko pamoja amjatimiza miaka miwili kama sheria ya jamhuri inavyosema basi subiri tupate waliotimiza wakusaidie pengine n wewe unakumbana nayo haya yatakusaidie ufike umri wa jamhusri na kutangaza kisheria n wanandoa
 
Kama wanaishi Mwananyamala basi washauri wawe ndani mapema kabla ya muda wa dunga dunga..

haahaaa umeniacha hoi roba za mbao na misumari zimeisha
 
Kama unamaliza kazi saa kumi na moja tuseme unakaa mpaka kumi na mbili na nusu na unadrive kwanini urudi nyumbani nne au tano usiku?
 
Watu 8 embu jibu hilo swali utasaidia wanandoa waliooana leo wakabadili mawazo kulinda ndoa zao
 
Kama unamaliza kazi saa kumi na moja tuseme unakaa mpaka kumi na mbili na nusu na unadrive kwanini urudi nyumbani nne au tano usiku?

haahaaa mkuuu na folen za dar no comments
 
Hakuna mda maalum
depends umetoka kazini saa ngapi,
na una mishe gani baada ya kazi, hata kupitia baa ni mishe.
waweza kurudi saa kumi, au kumi na mbili, au mbili, au nne, au hata sita.
Cha muhimu ni kumpa mwenzio taarifa kuwa "leo darling ntachelewa napitia sehem flani" hata kama ni baa sema.
It will solve a lot of unnexpected suspicions.
 
Watu 8 embu jibu hilo swali utasaidia wanandoa waliooana leo wakabadili mawazo kulinda ndoa zao

Mkuu hakuna muda linganifu, kila mahusiano yatakuwa na muda tofauti kulingana na kumalizika kwa shughuli za kikazi na majukumu ya kiuchumi.
Ila ni vyema kwa mama kuwahi kufika nyumbani kabla ya baba kwa ajili ya kufanya maandalizi kadha wa kadha hasa chakula.
 
kama una shughuli muhimu mfano kupitia miradi au shamba basi hakuna muda maalum mradi unamfahamisha mwenzako in advance, yaani usishtukizie. Kama ni baa si lazima uende katikati ya weekend na wala si lazima ukae mpaka wanafunga. kama una mke na watoto jitahidi kurudi nyumbani kula Nao chakula, Saidia na homework , kuandaa uniform , kagua madaftari nk. Huenda mama nae ana shughuli nyingi za kupika na kuandaa mambo mengine ya familia , hasa kama nae anafanya kazi. Zingatieni kipi muhimu mkifanye priority.
 
Inategemeana na muda wa kufungwa kwa bar kwa siku husika! ukichelewa sana sa kumi usiku
 
kama wenyewe wanashindwa kuona umuhimu wa kila mmoja, basi waambie hakuna umuhmu wa wao kurudi home. Wanaweza kushinda chobingo hata wiki 2 wakipenda!
 
Back
Top Bottom