Aliyewahi kuwa Meneja wa SSC bwana Abdulrahman Muchacho amefariki asubuhi leo.
Maziko kufanyika mchana huu makaburi ya Kisutu
Apumzike kwa Amani
R.I.P. Muchacho. Mwana Msimbazi wa ukweli kwa miaka mingi. Miaka ya hivi karibuni alikuwa hasikiki wala kuonekana hadharani. Alikuwa wapi?