MUCE hali tete kifedha

MUCE hali tete kifedha

Islamicstate

Member
Joined
Oct 6, 2015
Posts
29
Reaction score
5
Habari wanajamvi,

Katika pitapita zangu na katika upekuzi wangu nimekutana na taarifa kutoka MUCE huko Iringa. Hiki ni chuo kikuu cha elimu ambacho kinazalisha walimu kwa miaka kadhaa sasa. Ila kwa sasa chuo kile kinakabiliwa na FINANCIAL DEFICIT mbali na kuwa taasisi ya kiserikali, Hivyo hali hiyo imepelekea shughuli nyingi kusimama. Lakini pia tetesi zinasema kuna mgomo Wa wahadhili/waalimu chuo hapo kushinikiza serikali kuwalipa baadhi ya maadai yao.

Hali ikiwa hivyo mkuu Wa chuo hicho ambaye pia ni kada Wa chama tawala, Prof. Kilian (nimekutana nae katika vikao vingi vya chama ambapo mwanzoni nilikuwa sijui kama yeye ndiyo mkuu Wa chuo hicho), yeye anadunda na shughuli za ujenzi Wa chama yaani CCM hasa katika kipindi hiki cha uchaguzi. Sijui ni nini hasa jitihada za wakuu Wa vyuo katika kuhakikisha chuo kinaenda vyema. Ila huyu UKADA inavyoonekana unamuathiri pia. Tetesi zinasema chuo kipo hatihati kushindwa kujiendesha.
 
Habari wanajamvi,

Katika pitapita zangu na katika upekuzi wangu nimekutana na taarifa kutoka MUCE huko Iringa. Hiki ni chuo kikuu cha elimu ambacho kinazalisha walimu kwa miaka kadhaa sasa. Ila kwa sasa chuo kile kinakabiliwa na FINANCIAL DEFICIT mbali na kuwa taasisi ya kiserikali, Hivyo hali hiyo imepelekea shughuli nyingi kusimama. Lakini pia tetesi zinasema kuna mgomo Wa wahadhili/waalimu chuo hapo kushi niliza serikali kuwalipa baadhi ya maadai yao.

Hali ikiwa hivyo mkuu Wa chuo hicho ambaye pia ni kada Wa chama tawala, Prof. Kilian (nimekutana nae ktk vikao vingi vya chama ambapo mwanzoni nilikuwa sijui kama yeye ndiyo mkuu Wa chuo hicho), yeye anadunda na shughuli za ujenzi Wa chama yaani CCM hasa ktk kipindi hichi cha uchaguzi. Sijui ni nini hasa jitihada za wakuu Wa vyuo ktk kuhakikisha chuo kinaenda vyema. Ila huyu UKADA inavyoonekana unamuathiri pia. Tetesi zinasema chuo kipo hatihati kushindwa kujiendesha.

acha umbea chuo kimefungwa we umejuaje #hapa kaz tu
 
Umeongea ukweli ,mtupu, hali ni mbaya kuliko maelezo. Chuo kinadaiwa kuliko maelezo
 
nyie madeni ya chuo mnayajulia wap munafahm chuo kinaingiza sh ngapi kwa mwaka.......... mpaka wa shindwe kulipa hzo mill 2 mbil za malecture
 
Back
Top Bottom