Muccobs boom hakijaeleweka hali mbaya,

Apex

JF-Expert Member
Jul 31, 2012
425
61
Ni wiki ya tatu sasa toka 1st year kuingia chuo na baada ya kufika kwa haraka 1st year walitangaziwa kusaini pesa zao lakini chuo kimeendelea kukaa kimya bila kutoa taarifa kwa nini wanafunz wa 1st hawajapewa boom huku tukitambua wazi pesa zote za helsb zilishatumwa vyuoni hata kabla ya vyuo kufunguliwa,MY TAKE usijekuta pesa hiyo inazungushwa kwanza kuwanufaisha wajanja uku walengwa wakilia njaa na kulandalanda mtaani.
 
Hvi na nyie huwa mnapewa boom kumbe?

Perry take respect kwa kila mtu acha dharau za namna hiyo, life is a circle you don't know where it begins and where it'll end. Michango yako imekua ya kukatisha tamaa na kukejeli watu sio kitu kizuri Mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Je serikali ya Wanafunzi ina mchango gani kwenu? Nyie wenyewe hamjaamua kuungana na kuleta utendaji wenye tija kutoka ofisi ya fedha.
 
Perry take respect kwa kila mtu acha dharau za namna hiyo, life is a circle you don't know where it begins and where it'll end. Michango yako imekua ya kukatisha tamaa na kukejeli watu sio kitu kizuri Mkuu.

mkuu nimekuelewa,lakn humu si tunataniana tu asee,mbona na me huwa nataniwa na ckasiriki?
 
Last edited by a moderator:
mkuu nimekuelewa,lakn humu si tunataniana tu asee,mbona na me huwa nataniwa na ckasiriki?

ok Perry kama unaleta utani nadhani hautendei haki jukwaa hili,kwa kutambua kuwa dunian kuna utan ndo maana mods hawajakosea kuweka jf udaku,utani nk bt sio hapa kaka.
 
Back
Top Bottom