Mubashara: Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Frederick Sumaye Kuzungumza na Taifa Kuitia wandishi wa Habari Makao Makuu ya Chadema

Usikute nae anataka kuunga juhudi.
 
Ukitaka biashara yako ifanikiwe jiunge CCM-Sumaye.
Siasa ni maisha na maisha ni Dynamic, Nina imani hata JPM ipo Siku atatubu na kuomba radhi Watanzania Kwa madhila haya kuharibu democrasia, kubariki biashara haramu Viongozi na mengine. Siku shetani wa Kiburi cha madaraka akimtoka.
 
Hayo aliyosema ndio kuhutubia Taifa kweli ziro ni ziro. kalalama tu hapo na hakuna hata moja LA maana hapo hizo kelele. Ila wao ni halali kusema chadema itashida ila si Ccm. watasubili sana tena sana
 
Hayo aliyosema ndio kuhutubia Taifa kweli ziro ni ziro. kalalama tu hapo na hakuna hata moja LA maana hapo hizo kelele. Ila wao ni halali kusema chadema itashida ila si Ccm. watasubili sana tena sana
Aliyesema atafuta upinzani Dar ni Katibu wa ccm Mkoa?
 
safi
 
Anazungumza na taifa kupitia ukurasa wa facebook?Hiki kituko kweli ina maana chadema hakuna fedha ya kurusha matangazo live kupitia Tv channel yoyote.
Usilolijua ni kuwa kwa kipindi hiki facebook na mitandao mingine ujumbe unawafikia watu wengi kuliko TV unayoifikiria.Bila kingamuzi cha TBC/STAR TIMES ujumbe haufiki kwa wananchi au umesahau mmeviblock Ving'amuzi vingine ili tusione yanayoendelea??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…