Mubark addresses the nation thru state tv!

Kweli wahenga walisema siku ya nyani kufa matawi yote huwa yanateleza. Inaonekana jamaa waliomwandikia Mubarak spichi yake wamechemsha kinoma! Akina Salva mnajifunza hapo?
Unasema Salva ambaye huwa anatoa matamko ya kimipasho na yenye matusi still we have a long way to go
 
Nyanda sisi tunajua kupiga mdomo sana na porojo nyingi hatuna lolote lile

Kwaiyo mkubwa unataka kuamini kua tutaendelea kua wazee wa porojo mpaka kiama?!

Acha izo mzee! WaTZ wamebadilika sana. Na tolerance has its limit. Hata what is happening in Egypt haijatokea at a snap! Formerly,Egyptians were tolerant,hawakutaka kuwa bothered na how their country was run. But life and economic hardships deteriorated their tolerance.

So mkubwa,husikate tamaa. Things are going to spark sooner than you think.

AMANDLA.
 
Mubarak akiondoka madarakani leo nani atatawala? Maana hao waandamanaji hawana viongozi...wapinzani wenyewe wako shaghalabaghala ndio maana unaona maopportunist kama akina El Baradei wanataka seize the moment.
This is what many people, I guess even egyptians have not throw a thought! What Mubarak is supposed to do is talk to his people ask let say a month to form interim government that people will agree with, hndover things peacefully and step down. Any other means is likely to produce chaos than order!
 
True story. Naona anashindana na nguvu ya umma! Amesahau nguvu ya umma ni nguvu ya Mungu.

Viongozi wa Afrika natumaini mioyo yao inadunda na kukaribia kutoka kabisa! Hususani huyu mkwere! Akae mkao wa kuondoka kwani nguvu ya umma zaidi ya inayoonekana Misri itaunguruma TZ punde.

Egyptians are now chanting 'REVOLUTION TIL DEATH, IF MUBARK WANTS TO DIE IN THIS COUNTRY,THEN WE ARE READY TO DIE UNTIL YOU LEAVE'

Mkwere aondoke kwa lipi, Kundi moja kubwa linasema hafai, kundi jingine kubwa linasema " hii ni kauli ya shetani, selikari iwachukulie hatua. Hapa kwetu ukianzisha maandamano watu wataanza kuuliza huyu aliyeanzisha maandamano ni dini gani, then other denominations will choose their own way. Nadhani umeona kilichotokea Arusha; makundi mengi yalilaani kilichotokea lakini kundi moja likatoa tamuko la kuwa kilichofanywa na polisi cum serikali ni sahihi. Kupata mabadiliko hapa tz itatugharimu zaidi.
 
Comrade, hapo ktk second paragraph kama mkwere yupo hapa JF na kaisoma hiyo msg yako, wallah lazima atakuwa admited to ikulu hospital kwa pressure . . .
Sipati picha siku nitakapoona mitaa yote ya majiji ya Dar, Mbeya, Mwanza, Arusha na mikoa mingine iliyo na nguvu ya kiuchumi itakavyojaa mamilioni ya watu wakitaka wala rushwa na mafisadi wote watimuliwe, huku wakiwa tayari kupambana na jeshi mwamunyange plus mwema kama watajaribu kuwamwagia risasi zao
 
Mkwere aondoke kwa lipi, Kundi moja kubwa linasema hafai, kundi jingine kubwa linasema " hii ni kauli ya shetani, selikari iwachukulie hatua. Hapa kwetu ukianzisha maandamano watu wataanza kuuliza huyu aliyeanzisha maandamano ni dini gani, then other denominations will choose their own way. Nadhani umeona kilichotokea Arusha; makundi mengi yalilaani kilichotokea lakini kundi moja likatoa tamuko la kuwa kilichofanywa na polisi cum serikali ni sahihi. Kupata mabadiliko hapa tz itatugharimu zaidi.

Kaka, umeongea kitu kimoja kizuri saaaana ila hiyo point yako imeshakuwa noted . . . usitegemee maandamano ya type ya Tunisia or Egpty yataanzishwa na Chadema au chama cha kisiasa coz yatakosa nguvu na kuzushiwa propaganda za kidini na chama tawala kama tunavyoona sasa. Badala yake yanaweza kuanzishwa na shirika lisilo la kiserikari. Isitoshe polisi wanaotumika kuzima maandamano wakiamua kujumuika na waandamanaji badala ya kufyatua mabomu serikali itakosa nguvu kubwa sana ya kufanya ubabe wowote
 
Back
Top Bottom