Supreme Council of armed forces kutoa tamko hivi karibuni, mambo yamepamba moto.......Kiongozi wa jeshi wa ngazi ya juu anasema wanasubiri amri watangaze habari zitakawafanya wananchi wafurahi..........sijui ni habari gani, tetesi zinasema Mubarak ameondoka Cairo ameelekea wapi haikuelezwa.