kamanda wa kamanda
Senior Member
- Oct 12, 2013
- 191
- 75
pole kwa wale wote mliokuwa mnamtgemea..Alie wai kua mwenyekiti wa Kwanza wa chadema mkoa wa Mbeya kamanda Oscar Mwambola amefariki jana Wanachadema wote mbeya mnatakiwa kuwepo eneo la msiba ni Kata ya Majengo R.I.P Muasisi wetu wa Chadema Mbeya
RIP Oscar Mwambona.[/b] We will meet you there!
Twalimenye naloli ukaghone kikambaku ,nuswe tu kwisa tulimunyuma, ,,,,one way r.i.p