Muasisi wa CHADEMA Mbeya Afariki dunia

kamanda wa kamanda

Senior Member
Oct 12, 2013
191
225
Aliyewai kua mwenyekiti wa Kwanza wa CHADEMA mkoa wa Mbeya kamanda Oscar Mwambola amefariki jana.

Wanachadema wote Mbeya mnatakiwa kuwepo eneo la msiba ni Kata ya Majengo.

R.I.P Muasisi wetu wa CHADEMA Mbeya.
 

ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,711
2,000
Alie wai kua mwenyekiti wa Kwanza wa chadema mkoa wa Mbeya kamanda Oscar Mwambola amefariki jana Wanachadema wote mbeya mnatakiwa kuwepo eneo la msiba ni Kata ya Majengo R.I.P Muasisi wetu wa Chadema Mbeya
pole kwa wale wote mliokuwa mnamtgemea..
 

m4cjb

JF-Expert Member
Jul 23, 2012
7,374
2,000
R.I.P kamanda.kazi uliyotuachia ya kuilinda& kuiendeleza CDM tutaifanya kwa moyo na nguvu zetu zote.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom