na wewe ndio umeona hii topic ya maana kuleta hapa? Kweli Tanzania itabaki maskini milele. Nyie ndio wananchi na haya ndio mawazo unayoleta hapa JF. Kweli tumerogwa.Habari wanjamvi, Inasemekana kuwa Tanzania ina rasilimali nyingi haswa madini kama vile dhahabu, tanzanite nk. na hivi karibuni kuna ule mradi wa linganga na mchuchuma, na kwa kuwa hzi raslimali zinaonekana kutokidhi dhamani yake katika kuwaletea wananchi maendeleo, kwa mantiki hiyo basi, tumpe hii nchi Muammar Gaddafi angalau kwa miaka kumi.....ni hayo tu
Habari wanjamvi, Inasemekana kuwa Tanzania ina rasilimali nyingi haswa madini kama vile dhahabu, tanzanite nk. na hivi karibuni kuna ule mradi wa linganga na mchuchuma, na kwa kuwa hzi raslimali zinaonekana kutokidhi dhamani yake katika kuwaletea wananchi maendeleo, kwa mantiki hiyo basi, tumpe hii nchi Muammar Gaddafi angalau kwa miaka kumi.....ni hayo tu
Tanzania is one of the riches countries in natural resources, coast and big land, but its very very poor!! imagine watu wanalima kutumia plough ya miti...Karne ya 21 unalima kutumia jembe la miti na una chuma nchini kwao....this is rediculous then unaenda kuomba msaada...no hapana