Njia za kuepuka usumbufu kutoka kwa mpenzi wako kipindi hiki cha sikukuu

bioto

JF-Expert Member
Oct 1, 2017
1,216
2,000
01. Akikupigia usipokee, miscall zikifika 16 mtafute, mwambie umeua betri ya simu yangu kwa hiyo hata mimi kuna siku utaniua. Bora tuachane..
.
02. Kama uko naye mnapiga story. Mweleze "you don't respect me, I am talking while you are breathing? it's over
03. Ukimwita akaja mapema tell her " i called you and come quick, wewe sio mvumilivu. Sitaki manze wa dizain yako!"

04. Kwenye msosi sasa "nishakwambia mimi nakulaga chakula cha moto tu lakini wewe umekataa kupasha ice cream, inaonyesha jinsi gani hunijali"

05. Nilikupa mayai mawili moja ulichemshe lingine ulikaange, wewe la kuchemsha umelikaanga halafu lile la kukaanga umelichemsha. Inaonyesha Jinsi gani hunisikilizi...

06. Mi nakuita darling wewe unaniita "honey" ... unamaanisha mama yangu ni nyuki..? sipendi mwanamke anayemdharau mama yangu kubafu!
 
MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Mar 1, 2016
4,884

Mkuu, hii kitu iko mahala pake, number 4 and 6 hatari kubwa.
 
amayabhu

JF-Expert Member
Oct 15, 2016
498
1,000
Bora umwambie tu ukweli kuwa hutaki kuombwa hela, hapo ndio ugomvi utaanza na mtaachana kiroho safi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom