Enny JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 962 Reaction score 131 Oct 23, 2009 #1 Nawatafuta marafiki waliosoma Weruweru mwaka 1990/1991 kipindi cha mama Kamu. Tuwasiliane.
Bluray JF-Expert Member Joined Mar 25, 2008 Posts 3,449 Reaction score 139 Oct 23, 2009 #2 Kama unatumia Facebook tafuta/ anzisha group ya Weruweru. i am sure utapata a viral network mpaka mwenye utashangaa.
Kama unatumia Facebook tafuta/ anzisha group ya Weruweru. i am sure utapata a viral network mpaka mwenye utashangaa.
S Suki JF-Expert Member Joined Nov 20, 2007 Posts 373 Reaction score 20 Oct 23, 2009 #3 Enny said: Nawatafuta marafiki waliosoma Weruweru mwaka 1990/1991 kipindi cha mama Kamu. Tuwasiliane. Click to expand... One of my stepmoms did. I'll let her know.
Enny said: Nawatafuta marafiki waliosoma Weruweru mwaka 1990/1991 kipindi cha mama Kamu. Tuwasiliane. Click to expand... One of my stepmoms did. I'll let her know.
Andrew Nyerere JF-Expert Member Joined Nov 10, 2008 Posts 3,007 Reaction score 2,468 Oct 23, 2009 #4 Unapoulizia kuhusu wanafunzi wa Shule fulani, unapaswa kuwajumuisha wote. Wote waliosoma pale,tokea shule ilipowekewa jiwe la msingi,unitl it was corroded by time,they form one unit.
Unapoulizia kuhusu wanafunzi wa Shule fulani, unapaswa kuwajumuisha wote. Wote waliosoma pale,tokea shule ilipowekewa jiwe la msingi,unitl it was corroded by time,they form one unit.
TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 31,586 Reaction score 18,736 Oct 23, 2009 #5 mmoja yupo hapa next to me ... ni-PM nikupe tano!!
K Kilambi Member Joined Apr 3, 2009 Posts 94 Reaction score 18 Oct 26, 2009 #6 nilikuwa kibohehe enzi hizo! mlikuwa mnaniuzi na masharti yenu magumu nyiee!!!!
B Bunsen Burner JF-Expert Member Joined Feb 25, 2009 Posts 908 Reaction score 1,102 Oct 26, 2009 #7 Kilambi said: nilikuwa kibohehe enzi hizo! mlikuwa mnaniuzi na masharti yenu magumu nyiee!!!! Click to expand... hahahahaaaaa.....! usinivunje mbavu manake nakumbuka 'kusunday face' siku za jumapili pale ilikuwa masharti kibao!!!!!
Kilambi said: nilikuwa kibohehe enzi hizo! mlikuwa mnaniuzi na masharti yenu magumu nyiee!!!! Click to expand... hahahahaaaaa.....! usinivunje mbavu manake nakumbuka 'kusunday face' siku za jumapili pale ilikuwa masharti kibao!!!!!