Mtwara tuna jimbo letu kupitia UKAWA

Mtwara tuna jimbo letu kupitia UKAWA

SULEY KORONGO

Member
Joined
Oct 2, 2015
Posts
28
Reaction score
8
MBUNGE kupitia CUF ni MAFTAHA MACHUMA .ambae ni kipenzi cha watu wa Mtwara mjini ni mafuriko kila siku .hizi ni baadhi za picha katika mikutano yake
 
Attachments

  • 1445455127781.jpg
    1445455127781.jpg
    37.8 KB · Views: 375
  • 1445455238795.jpg
    1445455238795.jpg
    114.2 KB · Views: 326
  • 1445455322831.jpg
    1445455322831.jpg
    57.4 KB · Views: 318
  • 1445455349053.jpg
    1445455349053.jpg
    67.4 KB · Views: 309
Tieni bidii mtwara ukawa bila kubaguana hadi fisiem akimbizwee
 
Tupo vizuri sana hata Kama figisufigisu zinatupata .ila mwaka huu murji anaenda India kuimba song
 
One love..... Ila picha zako hazionyeshi mafuriko yoyote. Sikunyingine ukitoa post kama hii maneno yaendane na picha unazoeka.Nakuepo mikutano yake mingi na mafuriko nayaona ila picha zako zimekuangusha Jaribu kupiga vizuri ili hata wenzetu wa mbali waelewe
 
Pengine ndio watu wote ktk eneo la huo mkutano.Pengine km ndio watu wote magufuli mwenyewe angeweza pata pungufu sana au asipate kabisa?Mjifunze tumia akili na kuwa na uhasilia zaidi ya kukariri mambo.
 
Back
Top Bottom