Mtwara ndo tumedanganywa?

Mtwara ndo tumedanganywa?

UTENDE

Senior Member
Joined
Jan 20, 2013
Posts
126
Reaction score
64
Wanajamvi, wananchi wa mkoa wa Mtwara wanahoji je muendelezo ndiyo uleule wa kupewa ahadi pasipo utekelezaji?? Tunakumbuka wakati wa kampeni rais wa awamu ya nne Jakaya Kikwete akiambatana na mgombea wa awamu hii ya 5 mh. JP MAGUFULI wakiwa huko Lindi walitutangazia ya kuwa barabara ya MTWARA- TANDAHIMBA- NEWALA-MASASI. Ingeanza kujengwa kwa kiwango cha lami haraka iwezekanavyo tena wakianzia na KM 50 kwani hela iko tayari na upembuzi ulishafanyika muda mrf.

Pia Mwenyewe Mh. Magufuli akiwa tyr rais aliyarudia maneno hayo kwa nyakati tofauti akiwemo makamu wa rais na waziri wa miundombinu. Tunashangaa ni zaid ya mwaka sasa tangu ahadi hii itolewe na tulishaambiwa hela ipo sasa ni nini kinakwamisha utekelezaji wa ahadi hii?

Ikumbukwe hii barabara ina mchango mkubwa sn ktk kuingiza mapato ktk taifa letu kwani korosho zivunwazo Newala, Tandahmba, Nanyamba, mtwara vijijini ndo hupitishwa kwenye barabara hii kuelekea bandarini for export.

Wanamtwara tumesubiri kw mda mrf sn tumechoka sasa!!
 
Subirini kwanza tunajenga uwanja wa ndege chato wenye umuhimu mkubwa kuliko hizo barabara.

Tukimaliza tutaanza kuwafikiria.
 
Wanajamvi, wananchi wa mkoa wa Mtwara wanahoji je muendelezo ndiyo uleule wa kupewa ahadi pasipo utekelezaji?? Tunakumbuka wakati wa kampeni rais wa awamu ya nne Jakaya Kikwete akiambatana na mgombea wa awamu hii ya 5 mh. JP MAGUFULI wakiwa huko Lindi walitutangazia ya kuwa barabara ya MTWARA- TANDAHIMBA- NEWALA-MASASI. Ingeanza kujengwa kwa kiwango cha lami haraka iwezekanavyo tena wakianzia na KM 50 kwani hela iko tayari na upembuzi ulishafanyika muda mrf. Pia Mwenyewe Mh. Magufuli akiwa tyr rais aliyarudia maneno hayo kwa nyakati tofauti akiwemo makamu wa rais na waziri wa miundombinu. Tunashangaa ni zaid ya mwaka sasa tangu ahadi hii itolewe na tulishaambiwa hela ipo sasa ni nini kinakwamisha utekelezaji wa ahadi hii? Ikumbukwe hii barabara ina mchango mkubwa sn ktk kuingiza mapato ktk taifa letu kwani korosho zivunwazo Newala, Tandahmba, Nanyamba, mtwara vijijini ndo hupitishwa kwenye barabara hii kuelekea bandarini for export. Wanamtwara tumesubiri kw mda mrf sn tumechoka sasa!!
Punguza haraka katika maendeleo ili lipo kwenye harakati ya kuanza kufanyika kazi ya ujenzi.....sehemu zinazotakiwa kupitishwa barabara kwa kiwango cha lami zipo nyingi pamoja na hiyo.
 
Wanajamvi, wananchi wa mkoa wa Mtwara wanahoji je muendelezo ndiyo uleule wa kupewa ahadi pasipo utekelezaji?? Tunakumbuka wakati wa kampeni rais wa awamu ya nne Jakaya Kikwete akiambatana na mgombea wa awamu hii ya 5 mh. JP MAGUFULI wakiwa huko Lindi walitutangazia ya kuwa barabara ya MTWARA- TANDAHIMBA- NEWALA-MASASI. Ingeanza kujengwa kwa kiwango cha lami haraka iwezekanavyo tena wakianzia na KM 50 kwani hela iko tayari na upembuzi ulishafanyika muda mrf. Pia Mwenyewe Mh. Magufuli akiwa tyr rais aliyarudia maneno hayo kwa nyakati tofauti akiwemo makamu wa rais na waziri wa miundombinu. Tunashangaa ni zaid ya mwaka sasa tangu ahadi hii itolewe na tulishaambiwa hela ipo sasa ni nini kinakwamisha utekelezaji wa ahadi hii? Ikumbukwe hii barabara ina mchango mkubwa sn ktk kuingiza mapato ktk taifa letu kwani korosho zivunwazo Newala, Tandahmba, Nanyamba, mtwara vijijini ndo hupitishwa kwenye barabara hii kuelekea bandarini for export. Wanamtwara tumesubiri kw mda mrf sn tumechoka sasa!!

Nahis hiyo barabara itakuwa haina umuhim kwa serikali mana haiwezekani iwe inasahaulika kila Awam!!!!
Naijua hiyo barabara aiseee tena ukianzia Mtwara kwenda Newala kipindi cha Masika ndio utajuta kwa nn ulipita hiyo barabara...!!!!
Ila muendelee kusubiri na kuwakumbusha wabunge wenu pia kuhusu hiyo barabara coz naamin nao waliahidi kuisimamia hiyo barabara ....
 
ngojeni kwanza tumalizane na washika UKUTA then tutakuja huko kujenga barabara.
 
Hawa wanataka tufanye fujo migomo na maamdamano ndio wajenge bila mashinikizo hawajengi
 
Back
Top Bottom