Mtwara kwachafuka tena

Status
Not open for further replies.

Acha umbulula na kukurupuka. Hakuvaa helmet sababu alikuwa sheli akiweka mafuta lakini sio kwamba hakuwa nayo. Na hata wakati anaingia sheli alikuwa amevaa na alivua alipoanza kupewa huduma sheli. Ila kwakuwa unawaza buku 7 hata haya huoni. Kwa mida hii bodaboda wote wapo wana kikao na mkuu wa wilaya ya Mtwara Mjini.
 
Umeona eeh...kuna kiumbe kinaitwa y-n sijui wa wapi hana hoja kabisa, pandikizi magamba flani.

Huna hoja wewe unasukumwa na hisia zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Hey u Idiot, kick ur as.shole at buttocks...kama haijui Mtwara don't pit ur stink shit.
Endelea kuburuzwa tu

Kama hujui kiingereza si ungeandika kimakonde tu, ya nini kujidhalilisha! Sasa kwani hayo asshole na buttocks vinapatikana wapi! Bodaboda zimekutoa akili.
 

Kama hawataki kufuata sheria si waache kuendesha bodaboda wakalime ufuta Nanjilinji, wasitake kuipanda serikali kichwani washenzi hao!
 
Jamani hili wanaloongelea wezetu Mtwara ni la maana sana, tutawatukana,kuwadharau bado ukweli utabaki palepale. Suala la tukio- na nguvu inayotumika; juzi walilalamika tukawakajeli sana -jana likahamia kwetu kwa sitaili ya TOKOMEZA tukalia hadi bungeni>tuache jeuri viumbe<
 
Wajinga sana hawa madere a bodaboda.
Wanadhani tz nzima shughuli zetu ni kuendesha bodaboda tu.
Wapigwe tuu.


wewe kama sio ccm basi polisi, hovyooo!
 
Sure kama kukataa serikali tatu wakati zanzibar ilitengeneza katiba yake tunaiona leo tunalazimisha serikali mbili
Kwa ujinga na upuuzi wa mamlaka yetu na political driven decisions tumefika hapa tulipo ,tuliacha kuweka sheria na tararibu mapema kabla hii biashara haijashamiri sasahivi tunachukua maamuzi ya zimamoto
 
Sasa sheli wanakaza breki?
Stop..!wewe ni mmakonde?
Nisije nikavuja jasho kumuelekeza mmakonde.!

We jamaa ni chok.o kweli mama.e ulishawahi kubishwa hodi kunako shimo la taka huko nyuma babae zako dharau zako za kikibila iko siku utajatiwa jiti kwa hilo tundu nyang'au wewe....
 

word mkuu
 
Reactions: y-n
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…