Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,519
- 7,287
Hawa Jamaa wanakuja kwa kasi sana!! Lakini mbona hiki kiwanda cha Dangote kama kipo kisiasa sana?? Meli ya kwao ilivyoleta kontena za mashinery alikuja waziri kuipokea na kuongea na wananchi...Juzi Shapriya imeleta meli kubwa ya vifaa hata mkuu wa mkoa hajaonekana, may be wapo Shapriya wapo kikazi zaidi na mpaka sasa wamechukua miradi mitatu hapa Mtwara ukiwwemo mkubwa kabisa wa pale bandarini!!
So lets see hawa jamaa, isije ikawa Mawaziri wamekuja kuwapumbaza wanaMtwara ili gasi iondoke, manake up to now Msimamo ni uleule HAITO...KI.....!!
COPY: THE BIG SHOW, MMAHE, EMT,kiwatengu,Tuko, All Southerners na Watanzania wote wazalendo!!