Naam!Ndiye huyo huyo Tajiri namba moja Afrika na namba 43 Duniani !Alhaj Aliko Dangote.
ntampataje nimpe dada yangu bure?
Naam!Ndiye huyo huyo Tajiri namba moja Afrika na namba 43 Duniani !Alhaj Aliko Dangote.
Kwa kiasi fulani inatia moyo kwamba sauti zilizopazwa na wanaMtwara zimelazimisha serikali kufanya chochote. Iwe hiyo mikampuni ina uhusiano na serikali au la, but hizo project zikimaterialize tunatarajia money flow kwenda Mtwara itaongezeka. Hizo hela zitakazo'mwagwa' Mtwara kwa kiasi kikubwa zitawanufaisha wanaMtwara. Wavuvi watapata soko kubwa zaidi la samaki wao, wakulima watapata soko kubwa zaidi la vyakula wanavyozalisha, wafanyabiashara (wadogo, wa kati na wakubwa kama wapo), watapata wanunuzi wengi zaidi wa bidhaa zao.
Lakini kikubwa zaidi tutashuhudia ongezeko la 'cultures' tofauti Mtwara. Watu wa mataifa na makabila mengine wataongezeka Mtwara na itawafungua zaidi upeo wanamtwara. Shule, huduma za afya (zahanati, hospitali na vituo vya afya), na huduma nyingine zinazotolewa na serikali itabidi ziimarishwe kukidhi ongezeko la idadi (na caliber?) ya watu, na hii apparently itaongeza kiasi cha fedha za serikali zitakazotolewa kama mishahara ya wafanyakazi wake na kugharamia huduma hizo.
WanaMtwara wanaomiliki ardhi pia watafaidika kwani thamani ya ardhi yao itaongezeka kutokana na mahitaji. 'Wageni' watakaokuja watahitaji kujenga na hapa tutarajie kuongezeka kwa kipato kwa wauzaji na wabebaji mchanga, vifusi, mawe, kokoto na kadhalika, pia mafundi wa nyumba, na naamini wafaidikaji wakubwa wa mambo haya ni wanamtwara wenyewe...
KOMAENI BANA, ISITOKE GESI HAPO, YATOKE MAZAO YA GESI...
Naam!Ndiye huyo huyo Tajiri namba moja Afrika na namba 43 Duniani !Alhaj Aliko Dangote.
Mtwara kuna mengi sana na kwa mtu ambaye ana weledi mkubwa wa Uchumi naweza kusema kuwa Katika miaka mitano ijayo kama hamtawabania Mtwara itakuwa ya pili kwa kuchangia pato la Taifa lenu nyuma ya Dar. Na katika miaka kumi ijayo itaongoza.
Wamebarikiwa sana na Mola kila kitu wanacho.
Je vipi gas itatoka?
Shapriya,hii,kama,sikosei,ina,uhusiano,na,kampuni,ya,ujenzi,ya,ROSTAM,AZIZ,iliyopata,tenda,yakusomba,vifusi,katika,mgodi,wa,mwadui.
Hapo,siasa,itakuwa,ina,nafasi,kubwa.
Mkuu chezea D.B Shapriya! Hii kampuni nayo wala haina uzalendo ni kampuni ya vyesi tu
Mtwara kuna mengi sana na kwa mtu ambaye ana weledi mkubwa wa Uchumi naweza kusema kuwa Katika miaka mitano ijayo kama hamtawabania Mtwara itakuwa ya pili kwa kuchangia pato la Taifa lenu nyuma ya Dar. Na katika miaka kumi ijayo itaongoza.
Wamebarikiwa sana na Mola kila kitu wanacho.
Je vipi gas itatoka?
Mtoa mada anafananisha Mjusi na Mamba kwa sababu wote wana miguu minne, lakini ukweli ni kwamba D.B Shapriya ni kajikapuni ka ujanja ujanja tu ka ujenzi,
Tena ni local Company ya hapa hapa Tanzania, kuna uwezekana aliyesema ni ya bwana Azizi akawa sahihi ,,, Welcome to db Shapirya co ltd :: .....................
Nashukuru sana kwa taarifa mkuu ITEGAMATWI
sasa wewe unataka kulinganisha kiji LOCAL companya na lijikampuny la kimataifa? hiyo kampuni ina hela karibi sawa na GDP ya Tanzania kwa mwaka mzima.Ni kweli its local company lakini huijui shapriya wewe!!! Na si kijikampuni kama unavyotaka watu waaamini!!