Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,016
- 9,885
Hao ndio wakina Bia yetu,ussr na wengineo.Duh... Vijana taifa la kesho, tumekwama wapi!?
Na yule LijualikaliHao ndio wakina Bia yetu,ussr na wengineo.
Plus msukumaNa yule Lijualikali
Duh... Vijana taifa la kesho, tumekwama wapi!?
Mpwa hakuna namna tufanye chochote cha halali ilimradi mkono uende kinywan.Mjomba vyuma vimekaza...
Hakuna ajira, wafanyabiashara nao wanalalamika pesa hakuna... Hayo ndio matokeo yake.
Ndiyo umuue mtu kwa kuiba kuku, si ajabu kuku mwenyewe atakuwa 1 tuMjomba vyuma vimekaza...
Hakuna ajira, wafanyabiashara nao wanalalamika pesa hakuna... Hayo ndio matokeo yake.
Mkuu tumekwama hapa LUMUMBADuh... Vijana taifa la kesho, tumekwama wapi!?
Ndiyo umuue mtu kwa kuiba kuku, si ajabu kuku mwenyewe atakuwa 1 tu
......unashauri nni sasa au mawazo yako ndipo yalipoishia.........Mjomba vyuma vimekaza...
Hakuna ajira, wafanyabiashara nao wanalalamika pesa hakuna... Hayo ndio matokeo yake.
Mpwa hakuna namna tufanye chochote cha halali ilimradi mkono uende kinywan.
......unashauri nni sasa au mawazo yako ndipo yalipoishia.........