MTV wamuombe radhi Diamond na Tanzania haraka

MTV wamuombe radhi Diamond na Tanzania haraka

SONGOKA

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2012
Posts
1,836
Reaction score
1,846
Baada ya kijana wangu kunisisitiza nimpigie kura mwanamziki anayempenda katika MTV mama awards, nimelazimika kutembelea website ya MTV BASE ili kutimiza ahadi niliyoitoa jana jioni kwa mtoto wangu wa kiume.

Niliyoyakuta ni yaleyale ya Mlima KILIMANJARO uko KENYA

Best Collaboration
AKA, Burna Boy, Da LES & JR: "All Eyes On Me" (SA/Nigeria)

Davido featuring Uhuru & DJ Buckz: "The Sound" (Nigeria/SA)

Diamond & Iyanya: "Bum Bum" (Kenya/Nigeria)

Toofan & DJ Arafat: "Apero Remix" (Togo/Ivory Coast)

Stanley Enow & Sarkodie: "Njama Njama Cow Remix" (Cameroon/Ghana)

Je hili kosa ni la bahati mbaya??

Chanzo: MAMA 2015 - #MTVMAMA2015 Nominees Announced!
 
Tanzania hatuna umaarufu hapa afrika mashariki, kwahiyo akitokea mwenye kipaji hapa afrika mashariki sana sana wageni watajua ni mkenya
 
Tanzania hatuna umaarufu hapa afrika mashariki, kwahiyo akitokea mwenye kipaji hapa afrika mashariki sana sana wageni watajua ni mkenya

umaarufu upi unauzungumzia wewe??????
 
t.PNG
 
Wapenda ligi utawajua,sasa unataka akujibu vipi

usikurupuke kijana, kasema Tanzania si maarufu Africa..sasa anamaanisha umaarufu upi???

Tanzania ina umaarufu wa kutosha Africa na Duniani

NI nchi yenye mlima mrefu Africa- KILIMANJARO
Ni nchi pekee yenye TANZANITE Duniani
Ninchi yenye ziwa la pili kwa ukubwa Duniani- VICTORIA
Ni nchi yenye game game reserve ya pili kwa ukubwa duiani -SELOU
NI nchi yenye word heritage sites NANE
Ni nchi yenye natural word wonders TATU
Ni nchi yenye rais aliyesafiri kuliko rais yeyote toka 2005
NI nchi yenye reserve ya gas kubwa duniani -More than 55 trillion cubic
Ni nchi pekee iliyopigana vita za nchi nyingine Africa ili zipate uhuru

and many more...Sasa we unaongelea umaarufu gani??????
 
umaarufu wa ki.se.nge, ufisadi, kujiona, unga, tambo, michepuko,kichwa cha mwendawazimu, wanafiki,blaa blaa nyingi, pumba, kutokujali mda, kudanganya umri, sifa za kijinga

acha matusi bwana mdogo
 
umaarufu wa ki.se.nge, ufisadi, kujiona, unga, tambo, michepuko,kichwa cha mwendawazimu, wanafiki,blaa blaa nyingi, pumba, kutokujali mda, kudanganya umri, sifa za kijinga

mkuu malizia na hii "NCHI YA KWANZA AFRICA INAYOONGOZA KWA RUSHWA...IKIFUATIWA NA NIGERIA YA PILI"...juzi tu ilitangazwa kwenye a54 labda ndugu SONGOKA halijui na hili.
 
Wako addicted na mikenya

Hapo labda wameona kule rate ya wakenya kuvote kwa Mondi wamewazidi watz so wakahisi labda jamaa ni mkenya maana kwa uwelewa wangu wa kawaida tu watz wengi ni wavivu wa kupiga kura hasa hizi za online ila bado wapo wachache wanaopiga hizo kura za online lakini katika hao wachache wapo waliojigawa tena yani wale wanaompigia DAVIDO na WIZKID.
 
Back
Top Bottom