Jamani hebu njoeni mumpatie msaada wadau...
najua hapa kuna watu wa magazeti,vitabu,majarida,movie za kibongo n.k n.k
Nyinyi wote nilio wataja mna uwezo wa kumsaidia ndugu yetu kwa kumpatia kazi au kimawazo,lakini pia hata watu wasio wale nilio wataja mnaweza kumshauri au kumsupport.
Nakutakia kila kheri mkuu na natumai utasaidiwa!