anhaa sawa mkuusina waiver consent yake
Sawa nitaendayah but kajisikilizie kwa macho hapo P;d Moshi si mbali
hii kali sana aiseeSiwezi kukataa, nimesoma pale kuna madarasa ya wanafunzi wenye uhitaji maalum. Kuna mmoja nilikua nashangaa ukiingia tu chumbani hata bila kuongea, anakuita jina lako.
Nafikiri hawa jamaa wanapewa kipaji cha ziada kufidia kutokuona.