mimi ninao mkubwa nauza , pamoja na jiko lake kama utataka , nipo banana ,, kwa maelezo zaidi waweza kuni pmHaya sasa anaeuza mtungi wa gas mkubwa aje na dau lake hapa, nipo kigambon.
mbna kawaida tu .,, kama upo tayari tunaweza kuongea biashara , kusafirisha ni kazi rahisi sana , hata kwenye daladala tunauwekaMkuu nipo kigambon mie...hyo route yake sasasss