Mtumwa wa ngono

Mtumwa wa ngono

sr king

Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
6
Reaction score
3
Mimi ni kjana wa umri wa miaka 24 tatzo lnalonisibu nashikwa na hisia za mapenzi kila sikuu yaaan nataman nidooo kla sikuuu na sku nyngne nikikosa kudoo naangalia muvi za kikubwa napiga puli basi hapo roho nyeupe kabsa..... Nataman niache hii ktuu tatzo nashndwa nmekua kama mtumwa wa ngono nsaidien wana jf nahisi ksaikolojia siko vzur
 
Hakuna sex rehab facility hapo ulipo?
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Acha kuwaza sana ngono travel hata mkoani badilisha mawazo epuka group za wasap za mahaba
 
Tafuta kazi ya kufanya, badili mazingira na ufanye mazoezi
 
Ukiitamani sana pombe ya kienyeji
na kwa bahati mbaya katika safari ya kuitafuta
ukakutana na machicha ya pombe ukayala kwa tamaa ukashiba
ukija kukutana na pombe yenyewe,unaweza kujikuta
huna uwezo wa kuinywa.Miaka hiyo 24 ndo kwanza ni asubuhi kwako.
ukiendekeza tabai hiyo,si ajabu ukijakuoa ukajikuta huna tena ubavu.

Jitahidi kufanya mazoezi
ufanye mwili kuwa na majukumu
mengi ya kikazi huenda ikakusaidia.
 
Bado kijana mdogo, huna Kazi huna majukumu huna, hulipi kodi, hununui chakula wala kutegemewa na yoyote, ukikua ukayapata hayo Mbona utaacha tu!
 
Usikute baadhi ya wanaojifanya kumshauri na wenyewe wapo kwenye Hali kama hio.. Hayo mambo ya mapenzi yana mambo Yake. Kikubwa ni kuwa ubadili mazingira. Ngono Sana utauendekeza mwili kuwa WA kizembe mwili utachakaa hasa punyeto itakumaliza Sana.. ANZA mazoezi ya kuepuka punyeto kwanza angalau Kwa mwezi mara moja mbili tu
 
Upo kwenye foolish age... utaacha kadri umri utakavyosonga na majukumu yatakavyokuzonga... Una muda mwingi wa kupoteza ndiyo maana unawaza hayo...
 
Inaonekana muda mwingi upo nyumban tu. Tafuta kazi au jichanganye kwenye makundi ya kaz za kujitolea utaweza sahau kwa kiasi kikubwa.
 
Back
Top Bottom