Wombolombo
Member
- Nov 27, 2012
- 96
- 20
Hv hme hamna house girl? uwe unapunguza muemuko maana kasi ya vidole vinapukutika na umri bado marahaba.
Bado kijana mdogo, huna Kazi huna majukumu huna, hulipi kodi, hununui chakula wala kutegemewa na yoyote, ukikua ukayapata hayo Mbona utaacha tu!