Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,018
- 144,377
Hawa ni watumishi wa ikulu ?
Hao walioko Ikulu wamevaa sare za migambo au chadema.
Nimefurahi hoja kujibiwa na hoja kama hv mjadala uishe
Hao walioko Ikulu wamevaa sare za migambo au chadema.
Hao sio watumishi wa umma na walikwenda Ikulu kama chama cha siasa kuhusu swala la kitafa(katiba) lililokuwa linasimamiwa na serikali na wao chama cha siasa wakiwa ni wadau.
Hao walioko Ikulu wamevaa sare za migambo au chadema.
Unaifahamu sare ya chadema??
Hao walioko Ikulu wamevaa sare za migambo au chadema.
Hapo ilikuwa Raisi kikwete kakutana na uongozi wa chadema, leo Raisi Magufuli kakutana na uongozi wa CCM tabu iko wapi. Mwambieni Mbowe amlete Ben na si kulia lia.Hao sio watumishi wa umma na walikwenda Ikulu kama chama cha siasa kuhusu swala la kitafa(katiba) lililokuwa linasimamiwa na serikali.
hizo sare za migambo si ndio sababu ya kujiita 'makamanda'? au umeingizwa chadema na Lowassa?Unaifahamu sare ya chadema??
Aise umeitendea haki elimu yako.Hao sio watumishi wa umma na walikwenda Ikulu kama chama cha siasa kuhusu swala la kitafa(katiba) lililokuwa linasimamiwa na serikali na wao chama cha siasa wakiwa ni wadau.
Hawakwenda pale kujadili swala la kuchagua viongozi wa CHADEMA au kupanga safu ya uongozi wa chama.
Licha ya Ikulu kuwa Ofisi ya Rais lakini ndio makazi yake pia.Sheria za utumishi wa umma kwa ufahamu wangu haziruhushu mtumishi wa umma kuingia kazini/ofisini akiwa amevaa sare za chama fulani cha siasa au kuwa na chochote chenye muelekeo huo.
Sasa watu wanaofanya kikao cha chama Ikulu tena muda wa kazi,wana tofauti gani na mtumishi atakaeamua kuingia kazini na sare za chama fulani cha siasa?
Mliposema watu wafanye kazi mpaka mkazuia mikutano ya kisiasa huku nyinyi mkifanya vikao vya chama Ikulu tena muda wa kazi tuwaeleweje?
Hao walioko Ikulu wamevaa sare za migambo au chadema.