Mtume Mwamposa 'Buludoza' popote pale ulipo, tafadhali nijibu haya maswali yangu muhimu sana kwako

Mkatoliki Mwandamizi na Mwerevu anaweza kuwa Muumini wa Tapeli wa Kiroho huyo? Nimezaliwa Mkatoliki na nitafariki pia tu pia nikiwa Mkatoliki.
Usiitweze imani yake mkuu, hata wewe na ukatoloki wako unawezaje kumuambia binadamu mwenzako nimemla tigo binti wa kazi kwa imani mbele ya baba paroko?
Je yeye ni Mungu hadi utubu kwake?

Maisha ni kutiana moyo, zaidi sana Upendano na Masaidiano kwa hekima
 
Wanaouziwa maji na chumvi kwa 10k na wale wanapakwa majivu usoni au kuchomeka matawi nyumbani Wote WAJINGA tu, sema ujinga wao wanapishana.
Mwingine ameweka chupi kichwani na mwingine ameishikilia.
Wote wako uchi tu
haswaaaa
 
hahaha Hilo nalo neno!!!
 
Back
Top Bottom