Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,505
- 9,964
Mfalme Suleimani alipendelewa zaidi, huyu hajasubiria hur al ain wa pepeoni.Kama Duniani tu Allah alimpendelea Mtume wetu na kumruhusu kuoa wanawake 10+ . Nina amini huko Peponi atakuwa anawazagamua sana wale Mahurumain wa Allah.
Quran 33:50
"Ewe Nabii! Tumekuhalalishia wake zako ulio wapa mahari yao, na ulio wamiliki kwa mkono wako wa kulia katika alio kupa Mwenyezi Mungu, na mabinti ami zako, na mabinti wa shangazi zako, na mabinti wa wajomba zako, na mabinti wa dada za mama yako walio hama pamoja nawe; na mwanamke Muumini akijitoa mwenyewe kwa Nabii, kama mwenyewe Nabii akitaka kumwoa. Ni halali kwako wewe tu, si kwa Waumini wengine. Sisi tunajua tuliyo wafaridhia wao katika wake zao na wanawake ilio wamiliki mikono yao ya kulia. Ili isiwe dhiki kwao. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu"
Covax
Na Israeli wao wakiuwa ruksa,Taifa teule la Mungu?Kwan hao viumbe sjui allah na mwenzie muhamad ni kna nani hao na wana umuhimu gn.? Ni ukchaa kuamini ujinga kwmb uko pepon utapewa mito ya gongo na wanzuki na mademu 72 yan hz ndzo raha na starehe za uko ambazo wapumbavu wanaua wengne ksa utofauti wa dini ili tu wakapate hayo.
Ili uwe muislamu inabidi ufahamu wa kawaida wa kibinadamu ukutoke, No way kitabu kama hiko kinaweza kuaminiwa na mtu mwenye akili zake timamu
China wanazingatia uislamu kama tatizo la afya ya akili
Mfalme Suleimani alipendelewa zaidi, huyu hajasubiria hur al ain wa pepeoni.
1 Fal 11:1
1- Mfalme Sulemani akawapenda wanawake wengi wageni, pamoja na binti yake Farao, wanawake wa Wamoabi, na wa Waamoni, na wa Waedomi, na wa Wasidoni, na wa Wahiti, 2- na wa mataifa BWANA aliyowaambia wana wa Israeli, Msiingie kwao, wala wasiingie kwenu; kwa kuwa hakika wataigeuza mioyo yenu kuifuata miungu yao. Sulemani akaambatana nao kwa kuwapenda. 3- Akawa na wake mia saba binti za kifalme, na masuria mia tatu; nao wakeze wakamgeuza moyo.
sulemani hakuwa na mwisho mwema. Naomba uzingatie hilo.Lakini Nabii Sulemani kuwa na Wake buku sio nongwa dahhh binadamu bana
kwamba wanaua ksa dini au udini? Au unadhan huo mgogoro huko unaufatilia ww tu na familia yako? Ule mgogoro hauna udini wowote pale. Wale wasengerema kule nigeria wanaoua wakristo ksa dini ili wakapate mito ya gongo na wanzuki na mademu 72 wana akili timamu kweli? Uislam ni takataka kama taka zngne bora niwe budha kuliko huo usen.geNa Israeli wao wakiuwa ruksa,Taifa teule la Mungu?
kwamba wanaua ksa dini au udini? Au unadhan huo mgogoro huko unaufatilia ww tu na familia yako? Ule mgogoro hauna udini wowote pale. Wale wasengerema kule nigeria wanaoua wakristo ksa dini ili wakapate mito ya gongo na wanzuki na mademu 72 wana akili timamu kweli? Uislam ni takataka kama taka zngne bora niwe budha kuliko huo usen.ge
Israa ni safari ya usiku aliyofanyiwa Mtume Muhammad ﷺ kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu. Katika safari hii, Mtume ﷺ alitumia mnyama aitwaye Buraaq, ambaye umbo lake lilikuwa kubwa kidogo kuliko punda na mdogo kuliko farasi. Buraaq alikuwa na kasi kubwa sana, ambapo hatua yake ilifika upeo wa macho. Kupitia Israa, Mtume ﷺ alisafirishwa kutoka Masjid Al-Haram (Makka) hadi Masjid Al-Aqsa (Baitul-Maqdis) ndani ya usiku mmoja. Hii ni safari ya ardhini, japo ya muujiza.Kwamba hauamini kuwa Mtume Mohamed alipaa na Faras mwenye mabawa hadi mbingu ya 7 na kwenda kuongea na Allah.
Dini ni iman bro. Usitumie sana Logic.
Israa ni safari ya usiku aliyofanyiwa Mtume Muhammad ﷺ kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu. Katika safari hii, Mtume ﷺ alitumia mnyama aitwaye Buraaq, ambaye umbo lake lilikuwa kubwa kidogo kuliko punda na mdogo kuliko farasi. Buraaq alikuwa na kasi kubwa sana, ambapo hatua yake ilifika upeo wa macho. Kupitia Israa, Mtume ﷺ alisafirishwa kutoka Masjid Al-Haram (Makka) hadi Masjid Al-Aqsa (Baitul-Maqdis) ndani ya usiku mmoja. Hii ni safari ya ardhini, japo ya muujiza.
Mi‘raj ni tukio la kupandishwa juu mbinguni baada ya Israa. Katika safari hii, Buraaq hakutumika, bali Mtume ﷺ alipandishwa kwa amri, nguvu na uwezo wa Mwenyezi Mungu. Alipandishwa akapita mbingu saba hadi kufikishwa Sidratul-Muntaha, mahali ambapo hata Malaika Jibril (AS) hakuweza kuendelea. Huko Mtume ﷺ alikutana na Mola wake na kupewa Swala na neema nyingine.
Kama ilivyokuwa kwa Nabii Isa (Yesu) AS, ambaye Mwenyezi Mungu alimwinua juu mbinguni, vivyo hivyo Mtume Muhammad ﷺ alipandishwa, si kwa sheria za kawaida za ulimwengu, bali kwa muujiza wa kimungu. Katika hatua hii, sheria za fizikia ya kibinadamu haziwezi kutumika, kwa sababu Mwenyezi Mungu ndiye Muumba wa sheria hizo na huzivunja au kuzisimamisha anapotaka.
Nani alikuambia sio nongwa. Unajua mwisho wake ulikuwaje? Lakin pia suleman hakuwa nabii ni mfalme wa IsraelLakini Nabii Sulemani kuwa na Wake buku sio nongwa dahhh binadamu bana
Unaamini huu upumbavu kabisa!Israa ni safari ya usiku aliyofanyiwa Mtume Muhammad ﷺ kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu. Katika safari hii, Mtume ﷺ alitumia mnyama aitwaye Buraaq, ambaye umbo lake lilikuwa kubwa kidogo kuliko punda na mdogo kuliko farasi. Buraaq alikuwa na kasi kubwa sana, ambapo hatua yake ilifika upeo wa macho. Kupitia Israa, Mtume ﷺ alisafirishwa kutoka Masjid Al-Haram (Makka) hadi Masjid Al-Aqsa (Baitul-Maqdis) ndani ya usiku mmoja. Hii ni safari ya ardhini, japo ya muujiza.
Mi‘raj ni tukio la kupandishwa juu mbinguni baada ya Israa. Katika safari hii, Buraaq hakutumika, bali Mtume ﷺ alipandishwa kwa amri, nguvu na uwezo wa Mwenyezi Mungu. Alipandishwa akapita mbingu saba hadi kufikishwa Sidratul-Muntaha, mahali ambapo hata Malaika Jibril (AS) hakuweza kuendelea. Huko Mtume ﷺ alikutana na Mola wake na kupewa Swala na neema nyingine.
Kama ilivyokuwa kwa Nabii Isa (Yesu) AS, ambaye Mwenyezi Mungu alimwinua juu mbinguni, vivyo hivyo Mtume Muhammad ﷺ alipandishwa, si kwa sheria za kawaida za ulimwengu, bali kwa muujiza wa kimungu. Katika hatua hii, sheria za fizikia ya kibinadamu haziwezi kutumika, kwa sababu Mwenyezi Mungu ndiye Muumba wa sheria hizo na huzivunja au kuzisimamisha anapotaka.
halafu huyo farasi akamrudsha dunian baada ya kumpeleka uko kuonana na jamaa yake allah....nadhan kuna namna twapaswa tujitafakari sn khs hz imani huu ni uwendawazmu kbs kbs dini gn ya kuenezwa kwa majambia, vita, mauaji mungu gn wa kupganiwa na wanadamu kama si ufala n nn.Kwamba hauamini kuwa Mtume Mohamed alipaa na Faras mwenye mabawa hadi mbingu ya 7 na kwenda kuongea na Allah.
Dini ni iman bro. Usitumie sana Logic.
Buraaq kuwa na mbawa hizo ni hadithi zilizosimuliwa na baadhi ya watu, lakini kwenye mapokezi ya hadithi zenye uhakika hakuna kitu kama hicho.Umesahau kusema huyo Buraq alikuwa ana mabawa.
Yaan ni Mnyama jamii ya punda ila mwenye mabawa na anapaa kwa kasi ya ajabu.
Pia umesahau kusema alivyofika mbinguni . Mtume Mohamed aliwaongoza Ibrahim na Mussa kumsujudia Allah.
Ndio maana nasema hatutakiwi tutumie Logic kwenye hili. Ni iman tu.
Manabii kutoka wapi na manabij gani ? Manabii wa nyakati gani walio hai au walio kwisha kufa zamani? Nijibu nikuulize swali ?Buraaq kuwa na mbawa hizo ni hadithi zilizosimuliwa na baadhi ya watu, lakini kwenye mapokezi ya hadithi zenye uhakika hakuna kitu kama hicho.
Mtume kuwaswalisha manabii, hii haikufanyika mbinguni bali kwenye msikiti wa Quds.