Mtumbua majipu hana rafiki

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,809
34,193
Mtumbuwa Majipu.jpg
 
Ukichimama nchale, ukikaa chale, ukichweta nako nchale tu njomba. Ukimumunya ndo uchicheme, hata ukimeja nchale tu!
 
Kweli dunia hii haina marafiki wa uhakika. Kuna jamaa yangu nilimsaidiaga sana huko nyuma kwa hali na mali. Na hata ukubwani amekuwa akinichek mara kwa mara akijaribu kujenga ukaribu nami. Sasa nikapata shida nikamwambia anisaidie kiaina, Yani alinipiga piga chenga na mpaka leo sijawahi kumsikia tena. Na mimi nimefurahi kupunguza watu wasio na urafiki wa uhakika...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom