Mtumba vs Mpya....!!!!!!!!!!!!


Na hiyo comparison sijui ataifanya na wangapi na kwa muda gani!!!!
 
Wote mkiwa bikra sawa...lakini mmoja akiwa bikra inakuwa shida....

Na ukimkubali bikra basi umvumilie na ukubali yote.....

Uvumilie na ukubali yepi hayo murembo?
 
Mkiwa wote bikra sawa...lakini kama ni mmoja hapo inaleta tabu...

Na ukimkubali bikra basi uvumilie yote na ukubalii yote...

Experience matter hata kama ya muda mchache...
 
Hao ambao wanaponda bikra ..hawana lolote zaid ya sizitaki mbichi hizi!
 
Mkiwa wote bikra sawa...lakini kama ni mmoja hapo inaleta tabu...

Na ukimkubali bikra basi uvumilie yote na ukubalii yote...

Experience matter hata kama ya muda mchache...

Hayo ya kuvumilia na kukubali ndio yapi?
 
Uvumilie na ukubali yepi hayo murembo?

Yote...kama hajui mapenzi...mchovu...ana maumbile tofauti na uliyoyatarajia......yani uvumilie yote ambayo yatakwenda kinyume na matarajio yako...
 
Bikra haifai hata kidogo hasa siku ya kwanza, na mmojawapo akiwa ni mzoefu tayari. Kama siku ya kwanza aliye na bikra asipofurahia tendo, basi itakuwa ni majanga tupu. Nakubaliana na aliyesema bora wakutane wote mabikira.
 
mmmmh!!! sijui ..

Kama hujui kesho naja kukuchumbia halafu mimi bikra
SITARAJII MASWALI

Huwa nasikiaga eti sijui wanaingizaga sijui wapi
Mi nashangaaga tu kikojoleo changu kinavimba mara nyingi nikiona maeneo fulani ya wanawake
Na mara nyingi asubuhi huwa kinanisumbua sana

Natumai kwako nitakuwa na uhuru wa kusema kile nisichokijua

CC: Heaven on Earth , Husninyo .....lol!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hao ambao wanaponda bikra ..hawana lolote zaid ya sizitaki mbichi hizi!

Siyo kuponda kila mtu ana matakwa yake...kama wew usivyopenda used tunaweza sema sizitaki mbichi hizi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…