Mtulia azidi kuungwa mkono

Analysis ya Haraka haraka ya hizi Picha inaonyesha wazi umati huu ni [HASHTAG]#TeamFusso[/HASHTAG], [HASHTAG]#TeamMdundiko[/HASHTAG] & [HASHTAG]#TeamCoaster[/HASHTAG]
 
Mhmm,!! jimbo linachukuliwa na mwalimu mapema kabisa SAA NNE asubuhi!
 
Mtulia anatuaminisha kwamba ukiwa chama pinzani raisi au waziri hakupi ushirikiano mbona sugu ameweza na maendeleo yanaonekana hahahaha,wacha niendelee sikiliza sera zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…