"Nilipokuwa ningali mvulana mdogo nilikuwa nikiambiwa kila mtu aweza kuwa Rais; Naanza kuamini"- Clarence Darrow
Sina mashaka huyu bwana atakuwa ni mmarekani tena itakuwa alikuwa akizungumzia UCHAGUZI ULE ULIOMUWEKA OBAMA MADARAKANI, But kwa Tanzania yetu kauli hii NI NDOTO, Coz hakuna usawa ktk watu, haki hazifuatwi, matabaka yamezidi, gap la kipato na kiuchumi kt ya mtu na mtu ni kubwa sana... Vyama vya siasa havipewi nafasi sawa za ushindani etc so KWA TZ HAIWEZEKANI. Km ulivyoanza kusema, MIMI BINAFSI NIMEIPENDA HII, NI CHALLENGE NA FUNDISHO KWETU!