chuma jr
Member
- Oct 17, 2015
- 89
- 138
Habari za muda huu wana jukwaa kiufupi husika na kichwa cha habari hapo juu kampuni ya keeway motorcycle inahitaji mtu wa kusimamia masoko nchini tanzania (regional sales manager) kama unahisi unafaa bas tuma cv yako kupitia email hii chumazerubabel13@gmail.com.
Mtu anayetakiwa awe na vigezo hivi
Note: nafasi sio ya upendeleo maana kama ilivyo watanzania wengi tuna mentalit ya kusema wana watu wao hii nafasi nimepewa nikaangalia watu wanaonizunguka hakuna anayefit so charity was begins at home nikaona wanajukwaa mpo wacha tupeane michongo so msuli wako kwenye interview takubeba zaidi naomba cv ziwasilishwe mapema ili jumatatu tuzipitie na kuwaita mapema zaidi kwa interview.
Nawasilisha wadau
Mtu anayetakiwa awe na vigezo hivi
REQUIRED QUALIFICATIONS:
1. Education Requirement: Bachelor's degree or above, preferably in Business Administration, Marketing, or related fields.
2. Work Experience: 3+ years of sales and team management experience at managerial level; familiarity with the Tanzanian market preferred.
3. Sales Skills: Strong sales techniques and market expansion capabilities, with the ability to independently develop and implement sales strategies.
4. Language Proficiency: Fluency in English and Swahili (mandatory).
5. Regional Expertise: In-depth knowledge of Tanzania’s local transportation, economy, and consumer behavior.
6. Soft Skills: Leadership, resilience, strong negotiation skills, and willingness to travel frequently.