Mtu wa miraba minne yupoje?

Ntandaba

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
922
Reaction score
1,487
Nimekuwa nikisikia hili neno la mtu wa miraba minne,mara nyingi wanawake ndio hupenda kulichagiza kwa kusema kuwa hupendelea kudate na mtu wa miraba minne,je huyo mtu wa miiraba minne yupoje?
Hiyo miraba inapatikana eneo gani la mwili wake?
Wanawake hawapo wenye miraba minne?
Huyo mtu wa miraba minne anauvumilivu kias gani katika kuliamsha dude?
ahsanteni
 
Kati ya hao wawili mhusika ni yupi
 
Mtu wa muraba minne anakuwaga sio mstatiri yeye ni square....
Mm ni mtu mwenye miraba sita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…