mtu wa kutengeneza Blog

mtu wa kutengeneza Blog

elnathan

Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
52
Reaction score
12
wanandugu,
nahitaji mtu wa kunitengenezea blog maana nataka kuanzisha biashara ndogo ya upigaji wa picha hasa za passport...
nataka niwe naweka picha mbalimbali na some info on this blog.
please send your quote to nat867@gmail.com
 
unataka iwe na features zipi?
Mbona kama ina sound unahitaji web yenye photo galleries?
 
Back
Top Bottom