Mtu na mzazi mwenzie

baba wa watoto watatu?we ni mjinga jinga tu,na kwa taarifa yako baba mtoto anatoa matunzo kwa mwanae na mzigo anakula maramoja moja,kwani we ulitakaje ni mkeo huyo?au ni nini kinachokuchanganya?
Mmmh
 
Mkuu wanawake wako wengi Sana.
Tafuta mwingine uridhishe roho yako.
Mwanamke akishazaa na mtu huwa hawaachani.
Unateseka kulea bao la mwenzako na analetewa bao jingine kwenye nyumba ambayo mlipaji Kodi ni wewe.
Use..Nge huu
 
Wewe ni Fwala Pro Plus Ultra 5G.

Sasa mchepuko anakupangiaje kwamba urudiane na mkeo ama laah?

Na wewe eti unaambiwa mimi na wewe basi unachanganyikiwa?

Tena mchepuko wenyewe umezaa? Na wewe naye unaukataza kuwasiliana na baba mtoto ili iweje? Wewe hapo umefuata uroda ama nini?

Kwa inavyoonesha tayari huyo mchepuko umemjengea, sasa imeshaanza kula kwako.

Na kwa taarifa yako umepikwa hadi ukapikika mbuzi wewe. Yani kwenda kwako hadi uage kwa mchepuko?


Aaarrrgggghhh!!!😬😬😬​
 
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
 
Subiri ufie huko mke wako na watoto wako watajua Cha kufanya, vitu VINGINE ni upuuzi Tu alafu mizee ya hivi ikizeeka utaisikia I HAVE NEVER HAD A HAPPY LIFE stress mnajitakia wenyewe gademitiiii
Stress gani jamani wakati michepuko ndio inaondoa stress...sema huyu tuu nfio hajafuata kanuni za kumiliki micheps
 
Kuna Raha ya kufanya uhuni wote ujanani.
 
Nenda kwa mganga uskubari
 
Ya mke unaweza ya discuss na mchepuko but ya mchepuko huwez kuya discuss na mke ....
 
Usikute ye ashakuwahi.. Unajifanya unawaza gharama zako kumbe unawaza kuambiwa tuachane na huwezi kumuacha ushalishwa nyama ya ukeni bwege wewe shtuka. Mkeo kazi anayo
[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…