Mtu na Mkewe.........


Photo//SALATON NJAU/NATION From left: Justice Minister Eugene Wamalwa, Deputy Prime Minister Uhuru Kenyatta, his wife Margaret, Foreign Affairs Minister Sam Ongeri and Minister for Nairobi Metropolitan Jamleck Kamau during the launch on May 20, 2012 at KICC, Nairobi.
 
Nani kakwambia mtu akiwa na mvi ni mzee? Sio kila mtu mwenye mvi ni mzee. Tena huyo kawa muungwana sana. Ameacha asili ya maumbile ifanye kazi yake. Wanawake wengi wana mvi lakini wanazificha kwa madawa tena mengine yana sumu. wale wanaojua kuwa kuwa na mvi ni fahari hawahangaiki na kuweka weusi wa bandia.
 
Jf at work ...................... mtu na mkewe WAMEFANYAJE!??
miaka ni hesabu tuuuuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…