Carbondioxide JF-Expert Member Joined Nov 17, 2014 Posts 733 Reaction score 195 Feb 11, 2016 #1 Nini maana ya maneno. 1.Mtu na kaka yake 2.Mtu na baba yake. 3.Mtu na mama yake. 4.Mtu na dada yake. 5.Mtu na mdogo wake. 6.Mtu na shangazi yake. 7.Mtu na bibi yake. Na maneno mengine kama hayo yanamaana gani?
Nini maana ya maneno. 1.Mtu na kaka yake 2.Mtu na baba yake. 3.Mtu na mama yake. 4.Mtu na dada yake. 5.Mtu na mdogo wake. 6.Mtu na shangazi yake. 7.Mtu na bibi yake. Na maneno mengine kama hayo yanamaana gani?
naiman64 JF-Expert Member Joined Nov 22, 2013 Posts 6,989 Reaction score 5,510 Feb 20, 2016 #2 Kwamba yule mtu unayemuona pale yupo na baba yake au na mama yake au na dada yake nk
Mvumbo JF-Expert Member Joined Aug 20, 2015 Posts 3,491 Reaction score 12,156 Feb 20, 2016 #3 Mh! Haya
Zamiluni Zamiluni JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 13,996 Reaction score 15,119 Feb 20, 2016 #4 maana yake "wana ukaribu sana kati yao"