Mtu mzito, Mshana Jr

Mtu mzito, Mshana Jr

Kwa mujibu wa maelezo yako ni dhahiri kuwa umetupiwa Jini latifa.Hili jini limekuwa linakuletea ufukara, mateso, hata ukipata pesa matumizi yake yanakuwa ni hovyo.
Kwakweli hili suala kuna kipindi lilinitokea sana mpaka nikawa najiuliza why me? Nikapata ufumbuzi kwamba tatizo sio jini mahaba wala makata tatizo ni wewe mwenyewe, sasa we kila siku unapenda kila msichana asikupite a kila aina ya pombe unaijua ladha yake we unafikiri nini kinatokea. Cha msingi tufanye ibada tuache ushirikina na uzinzi, hivi vitu tunabiendekeza sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nna swali. Juzi mdogo wng ameota ndoto za paka mtu, siku ikafuata akahis kuchomwa na kitu sehem ya mbavu. Akaamka akaangalia usalama wa kitandan anasafisha akalala. Akawa anajikuna. Akamuomba mwenzie aangalie kama ni lengelenge au nn, wakaona amewekewa alama ya namba 9 ukiisoma mtu. Lkn alieumia anaiona ni 6. Na imechorwa vizuri na kiutaalam kwa moto. Hizo hali inamaanisha nn na inakuaje?
 
Back
Top Bottom