Mtu mzito, Mshana Jr

Mtu mzito, Mshana Jr

Amenn

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2015
Posts
321
Reaction score
422
Mtu mzito , Mshana Jr na wengine ,Niko na swali
Ukienda kwa wanganga,ukapata majibu mawili tofauti 1. umerogwa 2.una majini, asilimia ya majibu yao pia iko tofauti, umerogwa 75%
una majini 25%
yupi au wapi ni sahihi kwa majibu.
Lipi ni lipi??



Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapa naona kaulizwa mtu mzito ngoja tusubiri majibu yake
 
Na kipindi hichi cha magu. Usipokuwa makini utamaliza mpaka akiba uloweka ya JK.
Tafakari

Ujana haubagui.
 
Waganga waongo sana hata hao watakupa majibu tofauti
 
Ningekujibu lakini inaelekea wewe unataka jibu la mshana jr pekee
 
mshana amepata pancha uko angani endelea kuvuta subila
 
Amenn yeyeeee alaf mbona kama huyu ni manzi mwenye ameleta hiki kisa asee mazee tunararuwa hawa ma manzi ila wengi ni wanga haki
 
Kitambo nilikuwa na jirani mganga wa mitishamba,mzee mmoja wa kidigo aisee nilitafuna sana kuku/ mbuzi....mtu anaagizwa jokoo halafu likifika jogoo linakatwa kucha zake za miguuni then linaperekwa uani na kufungwa kamba,...wateja wanapokuwa wengi na majogoo pia huongezeka....
 
wewe utakua mfuasi wa Rao anaamini waganga wa kienyeji wamedukuwa mtandao wa IEBC
 
Wapo na wataendelea kufanya kazi..wenzetu ulaya wanafundishana uchawi mzuri na mbaya..unaambiwa hata kusali ni uganga na uchawi pia....black magic n white magic.
 
Mtu mzito , Mshana Jr na wengine ,Niko na swali
Ukienda kwa wanganga,ukapata majibu mawili tofauti 1. umerogwa 2.una majini, asilimia ya majibu yao pia iko tofauti, umerogwa 75%
una majini 25%
yupi au wapi ni sahihi kwa majibu.
Lipi ni lipi??



Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu ni kuwa nyota yako ni chafu.Mtafute msafisha nyota akusaidie?
 
Back
Top Bottom