Kim Jo Ngil
Member
- Jan 3, 2014
- 45
- 17
Magazeti ya leo yana picha za vijana wa Tanzania wakipigana na kushika mabango kisa kesi ya Zitto. Hivi kweli wewe na akili yako timamu uache shughuli zako kwenda kupigana kisa Zitto? Hivi amechangia nini hasa katika maisha yako hadi ifikie hatua ya wewe kuwa tayari kupigwa mabomu ya machozi?
Tanzanians wake up please. Inasikitisha kweli.
Tanzanians wake up please. Inasikitisha kweli.