Mtu mzima hovyoooooooooo

Status
Not open for further replies.
Tatizo vitoto vinataika kula, vikitaka kuliwa vinaanza oooh, ujue mie bado under 17, wakati kanajitongozesha hakakujua?

 
hahahahaahh hiyo yako mpya best.ss hata kama ni msg hazikuwa za mapenzi hata kidogo kuna kitu nlikuwa nakihitaji mahal flan ss nataka detail zake tuu,ndo hapo matusi nkayaona kama mvuaaaa LARa

Jikalie kimya mamie, wanawake tuna kila aina ya burudani!
 
Namfahamu......ila mimi akinitukana namhamishia kifanyio usogoni........


Hicho kwenye red kinahamishiwaje usogoni jamani, ama ni msamiati mpya sana kwangu?

Funguka vizuri kwa ajili yangu tu, usinicheke maana hapa duniani vilaza/vihiyo tupo wengi[MENTION]preta[/MENTION]
 
Hayatuhusu. This is your private business.
 

Kwanza umepata Mume?

Manake ulikua unatafuta Mume kipindi fulani au ndo ulikua kwenye harakati za kujuana na mchizi?

Rejea hapa kwanza kabla ya kuanika mada
https://www.jamiiforums.com/love-connect/410930-anatafutwa-mume.html
 
pole ila kama una namba yake ungemtwangia kabisa na ujue sababu afu ungehisi anaendelea ndo ungetuletea kwetu wana MMU
au umemnyima ile kitu roho inapenda ndo maana anakutukana hovyo ka mwendawazimu

Mh kumbe ile kitu ukinyimwa inaleta uchizi eeh.
 
sore my lav ,mimi ni Gret Thinka ,sema jana nilikunywa viroba 18, safari 6, na kama zile za bob male 4, sasa mpaka nilipoanza kula miraha nilikuwa sijaanza kukutumia meseji ,hata sikumbuki tena..kuja kufungua jf ndo nakuta sredi yako,kwani nilikutukanaje?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…