Mtu kama huyu unamchukuliaje?


Nshawahi kuwa na man wa dzain hyo.nkamwambia we mtoto wa kiume zao la mwanaume mwenzio npumzshe.kla tukgombana et ooh najiua.nkamwambia jiue lakn andka kabsaa mm sihuski.stak shda mie
 
Mnunulie umpe uone kama atakunywa. Ana beep fire huyo
 
Limtokalo mtu moyoni mwake ndilo lililo ujaza moyo wake, atakunywa siku moja huyo, mkataze kutamkatamka hayo

Ni mara nyingi nmekuwa nikimkataza kuzungumz vitu kama hivyo lakin bado hasikii wakati mwingne najiuliza hivi kweli siku akinywa akafa mimi ntakuwa katika mazingira gani??cpatag jibu kamili
 
hajiui mwongo tena mwache...mimi ni muhanga wa hii kitu...nilitishiwa sana hadi nikawa nakonda yani lakini kuna siku nilimuudh tena akasema tuachane... nilishika palepale kwamba tuachane... akaniambia alikua anatania lakini mimi nikakaza uzi nikanunua ujasiri wa mia tano kwa muda tulokua nae nikasema alisema ananiacha na aniache mimi sirudi nyuma..akatishia tena kujiua nikasema ni juu yake... mimi sihusiki... siku zimepita na sijasikia kama kajiua. Kwani nani hapendi kuishi? hizo ni empty threats tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…