Habari wandugu ni matumaini mko poa kabisa, nina mpenzi wangu ambaye nimedumu nae kwa mwaka mmoja na miezi kadha, kama mjuavyo katika relationship kuna kutofautiana kikauli na mambo mengine.
Sasa issue yenyewe ni kwamba kila tukigombana iwe ni kosa langu au lake mara nyingi hupenda kunitishia kwamba anakunywa sumu ili afe maana haoni umuhimu tena wa kuishi, ingekuwa wewe ungefanyaje kwa mtu kama huyu?
ameshaona akikwambia hvyo nawe unatishika kweli ameona ndo njia ya kukukeep within the box. Siku moja mruhusu anywe na hatakunywa nakwambia
Limtokalo mtu kinywani mwake ndilo lililo ujaza moyo wake, atakunywa siku moja huyo, mkataze kutamkatamka hayo.