Mtu huyu Aden Rage

Mtu huyu Aden Rage

ebaeban

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
2,205
Reaction score
2,707
Mtu huyu Aden Rage

Wacha nimwongezee dulu Bwana Baraka Mbolembole katika makala yake ambayo nimeisoma kupitia blog ya Shafihi Dauda kuhusu mtu huyu Rage na mikakati yake inayoshindwa. Aden Rage nimeanza kumfahamu kwa karibu takiribani miaka 35 iliyopita hakuna mahali ambapo amenifurahisha zaidi ya kuona anafanya mambo ya hatari ambayo kamwe hawezi kuwa mfano wa kuigwa(role model).
Labda nitaje machache kwa mtiririko maalumu (particular order).

29/April/1984

Tarehe ya hapo juu Aden Rage alifukuzwa kazi katika mamlaka ya ustawishaji mako makuu yaani CDA kwa kosa la ubadhirifu wa mali ya umma , alifukuzwa kazi yeye na maofisa wengine tisa tena walifukuzwa na rais mwenyewe mzee Julius Nyerere , waliofukuzwa na Rage ni pamoja na

Mruma, Kitonka , Morell, Peter Mavunde(sasa hivi ni msheheshaji maarufu), Moses Kagya (huyu alifungwa na kufungwa) yeye Rage n.k.
Rais Nyerere hakufanya makosa kumfukuza Rage akiwa ni clearing and forwarding personnel stationed Dar-es-Sallam alikuwa anaweza kupoteza container zima la vifaa toka bandalini na kulipeleka anakojua yeye , imagine vifaa hivyo ni vya ujenzi CDA ingejengaje makao makuu na kweli kuna wakati shughuri zilisimama kabisa basi ikabidi wafukuzwe.

Rage katika michezo

Akiwa katibu mkuu wa DRFA alizua tifu kati ya DRFA na serikali ati akigombea umiliki wa kiwanja cha Karume, uwanja ambao hajui hata hati miliki iko wapi ,aliendelea na ugomvi ule mpaka akasahau majukumu yake kama katibu mkuu wa DRFA ikawa kila siku tunasikia malumbano tu.
Akawa katibu mkuu wa Simba, simba kipindi cha Rage iliyumba mpaka kidogo ishuke daraja,sina maelezo mengi katika hili wanaokumbuka watajazia

Ila Rage alipokuwa katibu mkuu wa FAT

Hapa ndio Rage alifanya mbaya kuliko kuachilia mbali mambo ya wizi hadi kufungwa baya alilofanya katika FAT in ile sheria yao na mwenyekiti wake Ndolanga ya timu ya nyumbani lazima ishinde, suala hili ni mojawapo lililofanya mpira wetu ushuke kuachilia mbali ule mgogolo wa Yanga. Miongoni mwa zinazoitwa skills ni stamina na control ball, hivi vitu ndio vijana wetu wanavikosa wanazidiwa na wachezaji wa inchi zingine, vyote hivyo viwili vinapatikana katika mazoezi tena sa ingine mazoezi makali, sasa inavyoweka sheria ya 18 ya FIFA kwamba timu ya nyumbani lazima ishinde lazima hizo skills lazima utazikosa kwa sababu application ya sheria hiyo ni mchezo kufanyika kwenye vyumba vya guest uwanjani ni matokeo tu. Unajua walikuwa wanafanyaje? Timu ya nyumbani inamtafuta referee wa mchezo husika wanamtafutia chumba cha kulala katika nyuma za kulala wageni, wanalipia gharama zote, wanamtafutia mwanamke wanampa na fuba la kutosha, siku ya mchazo ni lazima mwamuzi alipe kwa kuipendelea timu ya nyumbani.Suala hili liliuwa mpira wa Tanzania kabisa kipindi cha Rage na Ndoranga, matokeo yake timu zetu zikivuka inje amabpo sheria hii haipo zilikuwa zinafungwa vibaya sana mfano katika klub bingwa Africa Yanga ilifungwa na Marocco mabao 6.0 wakati ule Shungu ni kocha.
Madhara ya sheria hiyo yanaendelea hadi leo.

Rage katika siasa

Mala kapanda katika jukwaa la kampeni na bastola, mala kamtoboa mpinzani jicho Dodoma, jimboni kwake Tabora haonekani, pesa za mfuko wa jimbo hazijulikani zinapokwenda, mala kaipeleka timu ya Simba kiomboi kwenye jimbo la Ngulu Mchemba icheze mchangani siku ya mkutano wa CHADEMA ili CHADEMA isipate watu

Rage kama mwenyekiti wa Simba

Majigambo mengiii kama alivyoeleza Mbolembole,ahadi nyingiiiiii, kujenga uwanja, tumeuza wachezaji malioni ya hela timu inaanza ya kwanza inamaliza ya mwisho, mala hela za rambirambi za Mafisango zimeyeyuka, mala mimi ni bunge kwa hiyo msinibabaishe wakati akiwa katika mkutano mkuu wa Simba, mala mnafanya vikao vya harusi basi mambo vuluvulu.

Aden Rage hafai kuwa kiongozi kwa sababu si mfano wa kiigwa
 
Ni raia wa somalia kwa asili, atakuwaje na uchungu na nchi ya Tanzania?

Siku al-shabab wanafanya tifu hapa nchini, Rage awe mtu wa kwanza kuhojiwa!
 
Hili la CDA sikulijua!! Hivi Peter Mavunde si alikuwa meya wa Dodoma?

Ndiyo alikuwa Meya nako aliharibu hakumaliza mda wake alilazimishwa kujihudhuru baada ya ubadhirifu mkubwa wa ujenzi wa barababara ile itakayo manispaa kipitia kwa singa sohampalsigh kupitia victory booksop hadi kuu st.gharama zaka zilikuwa sawa na barabara ya kutoka Morogoro hadi Dodoma
 
Najaribu ku imagine neno lililo mtoka kinywani kwenye picha hii.......

aden-590x297.jpg
 
Hofu yangu sio content, mtoa mada nahisi ni product ya shule za kata. Unaandikaje bila vituo huku kukiwa na makosa mengi kiasi hicho? Physics with chemistry bana...
 
Nimecheka sana,Aden Rage msanii sanaa atii.
Ila kweli hicho chama ni ukoo wa panya,huyo PETER MAVUNDE si ndio alikuwa Mayor wa Dodoma???na aliondoka kwa kashfa??mwanae ndio ANTONY PETER MAVUNDE,MNEC na alikuwa Mwenyekiti UVCCM Dodoma...kweli CCM wezi toka kitambo..ni kweli huyu Peter Mavunde ni MC,nilimuona juzi kati AICC akisheresha mkutano wa PSPF
 
Tabora inatoa eccentric MPs angalia Kapuya na Sam Six,na sasa Rage,na yule wa Nzega mwenye kufoji majina dr
 
Mtu huyu Aden Rage

Wacha nimwongezee dulu Bwana Baraka Mbolembole katika makala yake ambayo nimeisoma kupitia blog ya Shafihi Dauda kuhusu mtu huyu Rage na mikakati yake inayoshindwa. Aden Rage nimeanza kumfahamu kwa karibu takiribani miaka 35 iliyopita hakuna mahali ambapo amenifurahisha zaidi ya kuona anafanya mambo ya hatari ambayo kamwe hawezi kuwa mfano wa kuigwa(role model).
Labda nitaje machache kwa mtiririko maalumu (particular order).

29/April/1984

Tarehe ya hapo juu Aden Rage alifukuzwa kazi katika mamlaka ya ustawishaji mako makuu yaani CDA kwa kosa la ubadhirifu wa mali ya umma , alifukuzwa kazi yeye na maofisa wengine tisa tena walifukuzwa na rais mwenyewe mzee Julius Nyerere , waliofukuzwa na Rage ni pamoja na

Mruma, Kitonka , Morell, Peter Mavunde(sasa hivi ni msheheshaji maarufu), Moses Kagya (huyu alifungwa na kufungwa) yeye Rage n.k.
Rais Nyerere hakufanya makosa kumfukuza Rage akiwa ni clearing and forwarding personnel stationed Dar-es-Sallam alikuwa anaweza kupoteza container zima la vifaa toka bandalini na kulipeleka anakojua yeye , imagine vifaa hivyo ni vya ujenzi CDA ingejengaje makao makuu na kweli kuna wakati shughuri zilisimama kabisa basi ikabidi wafukuzwe.

Rage katika michezo

Akiwa katibu mkuu wa DRFA alizua tifu kati ya DRFA na serikali ati akigombea umiliki wa kiwanja cha Karume, uwanja ambao hajui hata hati miliki iko wapi ,aliendelea na ugomvi ule mpaka akasahau majukumu yake kama katibu mkuu wa DRFA ikawa kila siku tunasikia malumbano tu.
Akawa katibu mkuu wa Simba, simba kipindi cha Rage iliyumba mpaka kidogo ishuke daraja,sina maelezo mengi katika hili wanaokumbuka watajazia

Ila Rage alipokuwa katibu mkuu wa FAT

Hapa ndio Rage alifanya mbaya kuliko kuachilia mbali mambo ya wizi hadi kufungwa baya alilofanya katika FAT in ile sheria yao na mwenyekiti wake Ndolanga ya timu ya nyumbani lazima ishinde, suala hili ni mojawapo lililofanya mpira wetu ushuke kuachilia mbali ule mgogolo wa Yanga. Miongoni mwa zinazoitwa skills ni stamina na control ball, hivi vitu ndio vijana wetu wanavikosa wanazidiwa na wachezaji wa inchi zingine, vyote hivyo viwili vinapatikana katika mazoezi tena sa ingine mazoezi makali, sasa inavyoweka sheria ya 18 ya FIFA kwamba timu ya nyumbani lazima ishinde lazima hizo skills lazima utazikosa kwa sababu application ya sheria hiyo ni mchezo kufanyika kwenye vyumba vya guest uwanjani ni matokeo tu. Unajua walikuwa wanafanyaje? Timu ya nyumbani inamtafuta referee wa mchezo husika wanamtafutia chumba cha kulala katika nyuma za kulala wageni, wanalipia gharama zote, wanamtafutia mwanamke wanampa na fuba la kutosha, siku ya mchazo ni lazima mwamuzi alipe kwa kuipendelea timu ya nyumbani.Suala hili liliuwa mpira wa Tanzania kabisa kipindi cha Rage na Ndoranga, matokeo yake timu zetu zikivuka inje amabpo sheria hii haipo zilikuwa zinafungwa vibaya sana mfano katika klub bingwa Africa Yanga ilifungwa na Marocco mabao 6.0 wakati ule Shungu ni kocha.
Madhara ya sheria hiyo yanaendelea hadi leo.

Rage katika siasa

Mala kapanda katika jukwaa la kampeni na bastola, mala kamtoboa mpinzani jicho Dodoma, jimboni kwake Tabora haonekani, pesa za mfuko wa jimbo hazijulikani zinapokwenda, mala kaipeleka timu ya Simba kiomboi kwenye jimbo la Ngulu Mchemba icheze mchangani siku ya mkutano wa CHADEMA ili CHADEMA isipate watu

Rage kama mwenyekiti wa Simba

Majigambo mengiii kama alivyoeleza Mbolembole,ahadi nyingiiiiii, kujenga uwanja, tumeuza wachezaji malioni ya hela timu inaanza ya kwanza inamaliza ya mwisho, mala hela za rambirambi za Mafisango zimeyeyuka, mala mimi ni bunge kwa hiyo msinibabaishe wakati akiwa katika mkutano mkuu wa Simba, mala mnafanya vikao vya harusi basi mambo vuluvulu.

Aden Rage hafai kuwa kiongozi kwa sababu si mfano wa kiigwa
ISMAIL ADEN RAGE ni MUONGO BINGWA
 
Tabora inatoa eccentric MPs angalia Kapuya na Sam Six,na sasa Rage,na yule wa Nzega mwenye kufoji majina dr

Ohoo Tabora yetu,ni lini tutaamka katika usingizi huu mzito??..yule mwingine wa Igalula,akiwa Naibu Waziri,Uchukuzi alikuwa anamzunguka Waziri wake kwenye dili la uwekezaji bandarini...
 
Unajua nawashangaa sana mashabiki wa simba tuko vigeugeu mara mnaunga mkono kamati tendaji mara mnaigeka hivi mnamuogopa Rage? yule hafai mi ni mbuge wangu hafai kabisa unajua watu tusiwe wapofu jamani simba itakufa jamani tuweni makini tatizo akija watu wanaanza kumtetemekea yule ----- tu asiwatishe kwa macho yake yaki al shabab yale.
 
Hili la CDA sikulijua!! Hivi Peter Mavunde si alikuwa meya wa Dodoma?

Ni kweli aliwahi kuwa meya wa Dodoma na alijiuzia gari la meya aina ya Hyundai kwa Sh.80,000 na bado hela iliyoingia kwenye mfuko wa serikali ni Tsh.40,000 Chezea Mavunde wewe!
 
yule msomali ana maneno machafu sana aliwaambia wenzie wamekaa kikao cha harusi, that is only msimbazi. amuangalie Lyod nchunga alipopotelea. simba wote hamna kitu, bi hindu peke yake ndio shujaa aliyemuambia kweri huyu msomali wenu Rage
 
Ndiyo alikuwa Meya nako aliharibu hakumaliza mda wake alilazimishwa kujihudhuru baada ya ubadhirifu mkubwa wa ujenzi wa barababara ile itakayo manispaa kipitia kwa singa sohampalsigh kupitia victory booksop hadi kuu st.gharama zaka zilikuwa sawa na barabara ya kutoka Morogoro hadi Dodoma
ebaeban ni kweli kabisa uyasemayo kuhusu huyu MEYA baada ya brbr ya hiyo walitimiliwa kweli wa3 yeye Marehemu Msoloka ya TTCL aliyekuwa Kata ya K/Ndege, na Diwani wa Tambuka Reli ambaye kaenda CHADEMA na awamu hii aligombea Ubunge wa Dodoma Mjini.
RAGE ISMAIL ADEN jamani hafai, ili kuiokoa Timu yetu ya SIMBA isishuke daraja chukueni MAAMUZI MAGUMU
Huyu Msomali sio mpaganaji hasa ni myu wa Shari tupu, labda watu wa DSM na Tabora hamumjui, sisi Dodoma tunamjua

CDM CCM.jpg
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom