Mtu asiye mtanzania anaruhusiwa kumiliki ardhi?

Jamani hata mie hili ningependa kulifahamu kwa undani wake, maana kwa Kenya sidhani ila hapa bongo mmhhhh!
 
Hawezi miliki ardhi kama mtanzania mwenyewe isipokuwa kwa uwekezaji tu...hivyo unapaswa mpeleka ofcn za ardhi eneo husika ili aweze tayarishiwa landform no 1... Kwa hatua zaidi za umiliki mpeleke Tic..kuna certificate incentives nk...
 
1465572382640.jpg
 

News Alert: - Lukuvi : Marufuku kwa raia wa kigeni kumiliki ardhi .

NJIA TANO ZA MWEKEZAJI ASIYE MTANZANIA KUPATA ARDHI
1.SHERIA ZINAZOWARUHUSU WAGENI KUPATIWA ARDHI.
Sheria kuu inayowaruhusu raia wa kigeni kupatiwa ardhi nchini ni sheria namba 4 sheria ya ardhi ya mwaka 1999. Kifungu cha 19( 2 ) cha sheria hii kinasema kuwa mtu au kikundi cha watu ambacho kimejiunga kama kampuni au bila kampuni ambacho wahusika wake ni raia wa kigeni wanaweza kupata haki ya kumiliki ardhi kwa ajili ya uwekezaji.
Sheria nyingine inayotoa mwongozo kwa raia wa kigeni kupata ardhi Tanzania ni sura ya 38 sheria ya uwekezaji ya mwaka 1997. Sheria hii hueleza namna ya kumpatia mwekezaji ardhi, matumizi, na muda wa mwekezaji mgeni kutumia ardhi hiyo.
 
Bado,kuna msako utapita,nyumba kwa nyumba,kiwanja kwa kiwanja,shamba kwa shamba
Utapewa fomu ujaze taarifa ya ardhi kama imesajiliwa au la,na ujaze taarifa zako ikiweno,kadi ya nec,nida au passport baada ya hapo tunaanza kuvicgunguza
Watauza tu
Hiyo itapendeza kama itafanyika nchi nzima. Kuns mdau mmoja hapa jf alisema kuna raia wa nchi moja ya Afrika mashariki anajishughulisha na uuzaji ardhi Dar es salaam hasa chanika.
 
Back
Top Bottom