MTU ASIPOTAKA KITU UTAJUA TU
Girl: Baby kila siku wenzangu
wanapelekwa out na bby zao mara
serengeti, mara Zanzibar kwann
wewe hunipeleki?
Boy: wiki hii nitakulepeka
Girl: waooooo bby asante umeplan
kunipeleka wapi?
Boy: Mapango ya Amboni Tanga
Gil: Loo lione kwanza, kafe mwenyewe