Maleven JF-Expert Member Joined Sep 8, 2019 Posts 783 Reaction score 3,666 Mar 14, 2025 #1 Mtu anachezea nyoka kisha anasema “wow, so beautiful “
The Father of All JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 11,100 Reaction score 13,698 Mar 14, 2025 #2 Maleven said: Mtu anachezea nyoka kisha anasema “wow, so beautiful “View attachment 3270579 Click to expand... Kwani waswahili hawachezi na nyoka au huwajui Kibisa?
Maleven said: Mtu anachezea nyoka kisha anasema “wow, so beautiful “View attachment 3270579 Click to expand... Kwani waswahili hawachezi na nyoka au huwajui Kibisa?
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,305 Mar 14, 2025 #3 Hawa watu wana upendo sana na wanyama; 1. Ni vigumu mzungu kung'atwa na mbwa hata awe mkali vipi. 2. Wanyama wengi wanaelewana na wazungu haraka sana
Hawa watu wana upendo sana na wanyama; 1. Ni vigumu mzungu kung'atwa na mbwa hata awe mkali vipi. 2. Wanyama wengi wanaelewana na wazungu haraka sana
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,305 Mar 14, 2025 #4 Father of All said: Kwani waswahili hawachezi na nyoka au huwajui Kibisa? Click to expand... Wale wasukuma?
Father of All said: Kwani waswahili hawachezi na nyoka au huwajui Kibisa? Click to expand... Wale wasukuma?
The Father of All JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 11,100 Reaction score 13,698 Mar 14, 2025 #5 Glenn said: Hawa watu wana upendo sana na wanyama; 1. Ni vigumu mzungu kung'atwa na mbwa hata awe mkali vipi. 2. Wanyama wengi wanaelewana na wazungu haraka sana Click to expand... Mbona wanateketeza wanyama wetu na trophies? Huwajui uzuri
Glenn said: Hawa watu wana upendo sana na wanyama; 1. Ni vigumu mzungu kung'atwa na mbwa hata awe mkali vipi. 2. Wanyama wengi wanaelewana na wazungu haraka sana Click to expand... Mbona wanateketeza wanyama wetu na trophies? Huwajui uzuri
The Father of All JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 11,100 Reaction score 13,698 Mar 14, 2025 #6 Glenn said: Wale wasukuma? Click to expand... Ngoma troupe
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,957 Reaction score 194,011 Mar 14, 2025 #7 Mambo yake muachie mwenyewe... Cc: Mahondaw
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,703 Reaction score 48,143 Oct 21, 2025 #8 Mimi na nyoka tofauti sana