Kwanini unakosea, kufanya maamuzi ya location ya biashara wakati una mtaji.
Lakini mara nyingi sehemu yenye pango rahisi huwa mbali na watu wengi, pili haina mzunguko mkubwa wa wateja. Usisahahu Biashara inahitaji wateja wengi zaidi kuliko pango rahisi.
Mfano, Eneo la wanafunzi linafaa kwa chakula cha bei nafuu na mahitaji madogo madogo ya msimu, Eneo la watu wenye kipato kikubwa linafaa kwa bidhaa au huduma zenye ubora. Ukikosea kuelewa tabia ya eneo, biashara inakuwa ngumu.
Biashara nzuri mara nyingi huanza kwa kuangalia eneo, watu, na mahitaji yao kwa muda flani.
Nimeandika uzi BAADA ya kuona MTU kaanzisha biashara Eneo lile nililotoka biashara Ile Ile iliyofeli pale na muda wote anashika tama.
Eneo liko vile vile
1. Hutaki Kutofanya utafiti wa soko
Watu wengi wanafungua biashara mahali fulani kwa kutegemea mawazo kichwani bila kuangalia watu wa eneo husika wanahitaji bidhaa hiyo, wana uwezo wa kununua na ushindani WA hapo au eneo hilo ni center ya biashara mfano WATU wakija eneo hilo Kwa ajili ya huduma au kununua wanaweza kuona bidhaa/huduma YAKO.2. Tabia ya kufata bei nafuu ya pango
Wengine huchagua sehemu kwa sababu pango ni rahisi.Lakini mara nyingi sehemu yenye pango rahisi huwa mbali na watu wengi, pili haina mzunguko mkubwa wa wateja. Usisahahu Biashara inahitaji wateja wengi zaidi kuliko pango rahisi.
3. Kufata mkumbo
Mtu anaona biashara fulani imefanikiwa sehemu fulani, naye anaenda kuiga bila kuchunguza sababu za mafanikio. Hayo.4. Kushindwa kuelewa mazingira
Kila eneo lina tabia yake.Mfano, Eneo la wanafunzi linafaa kwa chakula cha bei nafuu na mahitaji madogo madogo ya msimu, Eneo la watu wenye kipato kikubwa linafaa kwa bidhaa au huduma zenye ubora. Ukikosea kuelewa tabia ya eneo, biashara inakuwa ngumu.
5. Maamuzi ya haraka
Wengine wana mtaji na wanataka kuanza fasta fasta bila kufanya uchunguzi wa muda.Biashara nzuri mara nyingi huanza kwa kuangalia eneo, watu, na mahitaji yao kwa muda flani.
Nimeandika uzi BAADA ya kuona MTU kaanzisha biashara Eneo lile nililotoka biashara Ile Ile iliyofeli pale na muda wote anashika tama.
Eneo liko vile vile