Ok nimekupata .Anasoma VETA. Ufundi wowote ule. Artisan ni fundi mdogo mdogo yani mwenye ujuzi basic.
Ukitoka hapo unakuja levo ya fundi mchundo (full technician certificate), DIT au Arusha tech then unakuja level ya injinia. DIT, MUST au UD au st Joseph.
Artisan nimeona kwenye ajira nyingi wanakuwa watu wa umeme,mechanical na woodworkArtisan/Lineman ni ufundi unaohusiana na masuala ya umeme hasa umeme wa line kubwa kama 11kv na kuendelea hivyo nnavyoelewa..!!! Na kuhusu kusoma kutokana na elimu yetu ya kitanzania mara nyingi ma-artisan wengi wanakuwa na Electrical installation level lll
Vipi kuhusu course ya fitting and turner unaielewa vzr?hasa ajira yake ?Anasoma VETA. Ufundi wowote ule. Artisan ni fundi mdogo mdogo yani mwenye ujuzi basic.
Ukitoka hapo unakuja levo ya fundi mchundo (full technician certificate), DIT au Arusha tech then unakuja level ya injinia. DIT, MUST au UD au st Joseph.
I only took introductory course back in 1999. Sidhan sana kwa sasa kama ina soko kubwa. Ni bora kusomea civil huwezi kosa kazi kwenye kampuni za kujenga majengo na bara bara. Turning inaweza kukuua njaa mtu wangu.Vipi kuhusu course ya fitting and turner unaielewa vzr?hasa ajira yake ?
ni kozi gani inayolipa kwasasa inayotolewa na college zetu na veta?I only took introductory course back in 1999. Sidhan sana kwa sasa kama ina soko kubwa. Ni bora kusomea civil huwezi kosa kazi kwenye kampuni za kujenga majengo na bara bara. Turning inaweza kukuua njaa mtu wangu.
NewI only took introductory course back in 1999. Sidhan sana kwa sasa kama ina soko kubwa. Ni bora kusomea civil huwezi kosa kazi kwenye kampuni za kujenga majengo na bara bara. Turning inaweza kukuua njaa mtu wangu.
Kwa maana nyingine "artisan" ni "fundi sadifu"Anasoma VETA. Ufundi wowote ule. Artisan ni fundi mdogo mdogo yani mwenye ujuzi basic.
Ukitoka hapo unakuja levo ya fundi mchundo (full technician certificate), DIT au Arusha tech then unakuja level ya injinia. DIT, MUST au UD au st Joseph.
Sio umeme tu yaan kwa Kiswahili fasaha uwa tunaita fundi mchundo....Artisan/Lineman ni ufundi unaohusiana na masuala ya umeme hasa umeme wa line kubwa kama 11kv na kuendelea hivyo nnavyoelewa..!!! Na kuhusu kusoma kutokana na elimu yetu ya kitanzania mara nyingi ma-artisan wengi wanakuwa na Electrical installation level lll
Siku hizi watu hawachori sana kwa mkono. Watu wanatumia ma auto CAD nk. So kama vipi nenda kasome chuo cha ardhi Morogoro kama credentials zinakuruhusu.New
Mimi ni mzuri sana kwenye kuchora kama technical drawing au mechanical drawing kwasababu nilisoma shule za ufundi nanilikuwa na uwezo mzuri tu kwenye sayansi ila kuchora nizaidi .najaribu kutafuta kozi moja nzuri ya ufundi inayolipa na ikiwezekana inayohusisha kuchora
Morogoro kozi gani paleSiku hizi watu hawachori sana kwa mkono. Watu wanatumia ma auto CAD nk. So kama vipi nenda kasome chuo cha ardhi Morogoro kama credentials zinakuruhusu.