Mtu akitaka kuwa artisan anasomea nini?

Mtu akitaka kuwa artisan anasomea nini?

cilla

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2011
Posts
372
Reaction score
299
Wadau naomba kujua artisan anakuwa anasomea nini?na hasa anafanya kazi gani?ili uweze kusomea artisan unatakiwa uweje
 
Anasoma VETA. Ufundi wowote ule. Artisan ni fundi mdogo mdogo yani mwenye ujuzi basic.
Ukitoka hapo unakuja levo ya fundi mchundo (full technician certificate), DIT au Arusha tech then unakuja level ya injinia. DIT, MUST au UD au st Joseph.
 
Artisan ndo nini kwanza mkuu, si kila mtu anajua hio kitu....by the way ngoja wajuzi wa mambo waje.
 
Artisan/Lineman ni ufundi unaohusiana na masuala ya umeme hasa umeme wa line kubwa kama 11kv na kuendelea hivyo nnavyoelewa..!!! Na kuhusu kusoma kutokana na elimu yetu ya kitanzania mara nyingi ma-artisan wengi wanakuwa na Electrical installation level lll
 
Anasoma VETA. Ufundi wowote ule. Artisan ni fundi mdogo mdogo yani mwenye ujuzi basic.
Ukitoka hapo unakuja levo ya fundi mchundo (full technician certificate), DIT au Arusha tech then unakuja level ya injinia. DIT, MUST au UD au st Joseph.
Ok nimekupata .
 
Artisan nimeona kwenye ajira nyingi wanakuwa watu wa umeme,mechanical na woodwork
 
Anasoma VETA. Ufundi wowote ule. Artisan ni fundi mdogo mdogo yani mwenye ujuzi basic.
Ukitoka hapo unakuja levo ya fundi mchundo (full technician certificate), DIT au Arusha tech then unakuja level ya injinia. DIT, MUST au UD au st Joseph.
Vipi kuhusu course ya fitting and turner unaielewa vzr?hasa ajira yake ?
 
I only took introductory course back in 1999. Sidhan sana kwa sasa kama ina soko kubwa. Ni bora kusomea civil huwezi kosa kazi kwenye kampuni za kujenga majengo na bara bara. Turning inaweza kukuua njaa mtu wangu.
 
ni kozi gani inayolipa kwasasa inayotolewa na college zetu na veta?
 
Mimi ni mzuri sana kwenye kuchora kama technical drawing au mechanical drawing kwasababu nilisoma shule za ufundi nanilikuwa na uwezo mzuri tu kwenye sayansi ila kuchora nizaidi .najaribu kutafuta kozi moja nzuri ya ufundi inayolipa na ikiwezekana inayohusisha kuchora
 
Mimi ni mzuri sana kwenye kuchora kama technical drawing au mechanical drawing kwasababu nilisoma shule za ufundi nanilikuwa na uwezo mzuri tu kwenye sayansi ila kuchora nizaidi .najaribu kutafuta kozi moja nzuri ya ufundi inayolipa na ikiwezekana inayohusisha kuchora
 
I only took introductory course back in 1999. Sidhan sana kwa sasa kama ina soko kubwa. Ni bora kusomea civil huwezi kosa kazi kwenye kampuni za kujenga majengo na bara bara. Turning inaweza kukuua njaa mtu wangu.
New
Mimi ni mzuri sana kwenye kuchora kama technical drawing au mechanical drawing kwasababu nilisoma shule za ufundi nanilikuwa na uwezo mzuri tu kwenye sayansi ila kuchora nizaidi .najaribu kutafuta kozi moja nzuri ya ufundi inayolipa na ikiwezekana inayohusisha kuchora
 
Anasoma VETA. Ufundi wowote ule. Artisan ni fundi mdogo mdogo yani mwenye ujuzi basic.
Ukitoka hapo unakuja levo ya fundi mchundo (full technician certificate), DIT au Arusha tech then unakuja level ya injinia. DIT, MUST au UD au st Joseph.
Kwa maana nyingine "artisan" ni "fundi sadifu"
 
Artisan/Lineman ni ufundi unaohusiana na masuala ya umeme hasa umeme wa line kubwa kama 11kv na kuendelea hivyo nnavyoelewa..!!! Na kuhusu kusoma kutokana na elimu yetu ya kitanzania mara nyingi ma-artisan wengi wanakuwa na Electrical installation level lll
Sio umeme tu yaan kwa Kiswahili fasaha uwa tunaita fundi mchundo....
 
New
Mimi ni mzuri sana kwenye kuchora kama technical drawing au mechanical drawing kwasababu nilisoma shule za ufundi nanilikuwa na uwezo mzuri tu kwenye sayansi ila kuchora nizaidi .najaribu kutafuta kozi moja nzuri ya ufundi inayolipa na ikiwezekana inayohusisha kuchora
Siku hizi watu hawachori sana kwa mkono. Watu wanatumia ma auto CAD nk. So kama vipi nenda kasome chuo cha ardhi Morogoro kama credentials zinakuruhusu.
 
Artisan kwa kwa kiswahili ni fundi mchundo..na technician kwa kiswahili ni fundi sanifu(diploma)..artisan ni mtu mwenye elimu ya ufundi kutoka VETA au vyo vyovyote vinavyotambulika na serikali zenye kiwango cha elimu sawa na inayotolewa VETA.
 
Back
Top Bottom